habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,752
Ha ha ha du!! Hatarii una michepuko wangapiNi kuchepuka tu maana hakuna namna nyingine
Ha ha ha du!! Hatarii una michepuko wangapiNi kuchepuka tu maana hakuna namna nyingine
Leo umeongeaUnachokiacha na kile unachokifuata vyote ladha ni moja.. HESHIMU THAMANI NA HISIA ZA ULIYENAE.
wapo wanaume watAwapa hifadhi na kuwaheshimuTatizo ni kwamba kila mwanaume mmoja akiwa na mke mmoja hawa wanaozidi watapata wapi huduma sitahiki ya ndoa
Kwahiyo siku zote mimi nilikuwa bubuLeo umeongea
Mnajitia mikosi bure
Usifie gesti tu. Halafu umpe ma sapu wako mda mgumu kuwaelezea watoto jinsi mshua wao alivyodanchi.Awali ya yote natumai mu wazima.
Nimekuwa nikujiuliza kwanini watu hulalamikia maswala ya michepuko wakati nikiangalia kwa jicho la pili ni kwamba idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume.
Mfano Sensa ya mwaka 2012 jinsia 'ke' ni wengi kuliko 'me' idadi ya waliojiandikisha kupiga kura 2015 jinsia ke ni wengi kuliko mimi.
Idadi ya watu duniani inaonyesha jinsia 'ke' ni wengi kuliko 'me' sasa akinadada mnapolia kwamba tunamichepuko sidhani kama ni haki hebu fikiri 'me' mmoja mke mmoja hao wanawake wanobaki wangepata wapi huduma yao ya msingi?
Hivyo basi kwangu mimi michepuko is inevitable.
Karibuni nanyi mchangie mawazo yenu juu ya hili.
Watatu wachache fanya KUMI.Hii hoja ilitakiwa kuwekwa ktk rasimu ya katiba mpya.turuhusiwe kuoa hata watatu ....
mkuu, nakuunga mkono kwa 100%....hakuna jinsi ya kuepuka mchepuko....kuacha kuchepuka ni ubinafsi uliopitiliza. sasa tukiepuka mchepuko hao wanawake wanaozidi ni nani atakayewa-service. mnaokataza michepuko acheni huo uubinafsi wenu wa kijinga.Awali ya yote natumai mu wazima.
Nimekuwa nikujiuliza kwanini watu hulalamikia maswala ya michepuko wakati nikiangalia kwa jicho la pili ni kwamba idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume.
Mfano Sensa ya mwaka 2012 jinsia 'ke' ni wengi kuliko 'me' idadi ya waliojiandikisha kupiga kura 2015 jinsia ke ni wengi kuliko mimi.
Idadi ya watu duniani inaonyesha jinsia 'ke' ni wengi kuliko 'me' sasa akinadada mnapolia kwamba tunamichepuko sidhani kama ni haki hebu fikiri 'me' mmoja mke mmoja hao wanawake wanobaki wangepata wapi huduma yao ya msingi?
Hivyo basi kwangu mimi michepuko is inevitable.
Karibuni nanyi mchangie mawazo yenu juu ya hili.
Leo umeongea kiumeKwahiyo siku zote mimi nilikuwa bubu