Ha ha atawaweza km hata jitafutia kifoWhy uchepuke?
Oa wote.
Tatizo ni kwamba kila mwanaume mmoja akiwa na mke mmoja hawa wanaozidi watapata wapi huduma sitahiki ya ndoa
Ha ha atawaweza km hata jitafutia kifo
Awali ya yote natumai mu wazima.
Nimekuwa nikujiuliza kwanini watu hulalamikia maswala ya michepuko wakati nikiangalia kwa jicho la pili ni kwamba idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume.
Mfano Sensa ya mwaka 2012 jinsia 'ke' ni wengi kuliko 'me' idadi ya waliojiandikisha kupiga kura 2015 jinsia ke ni wengi kuliko mimi.
Idadi ya watu duniani inaonyesha jinsia 'ke' ni wengi kuliko 'me' sasa akinadada mnapolia kwamba tunamichepuko sidhani kama ni haki hebu fikiri 'me' mmoja mke mmoja hao wanawake wanobaki wangepata wapi huduma yao ya msingi?
Hivyo basi kwangu mimi michepuko is inevitable.
Karibuni nanyi mchangie mawazo yenu juu ya hili.
Acha masiala papuchi zina radha tofautiUnachokiacha na kile unachokifuata vyote ladha ni moja.. HESHIMU THAMANI NA HISIA ZA ULIYENAE.
ExactlyDini ya kiislamu iliona mbali kuruhusu wake wa 4.
Sina mpango wa kuoaUkichepuka jua na wa kwako anachepuliwa
Kufa kupo tuKamandiyo tabia yako we komaanayotu usisikilize lamtu ktkt michepuko yako lkn wakati ukiukwaa ndousikilize lamtu
Nashukuru mkuu kwa mapendekezo yakoOa mwisho wanne
Kuoa swezi kwa sababu siwezi kuwahudumia mahitaji mengine isipokuwa papuchi tuWhy uchepuke?
Oa wote.