Narudia tena, wanawake siyo watu wazuri

nilashasema sioi na wanawake wengi wanaolewa na wanaume ambao sio dream yao muda wa jioni ukifika,so anaolewa tu kutoa gundu ila mawazo yapo kwa boyfriend wake wa secondary,hapo ataanza kumpikia chakula mchepuko na anamtuma mtoto wako akampelekee mchepuko chakula ambacho ni jasho lako wewe na anaweza akazaa kabisa na huyo mchepuko wake mtoto ukasingiziwa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa sijui kukopesha mwanamke ambaye sijamkuta bikira asinipayukie nitampa makavu akikaza anipishe sitaki shari nimeoa kwa ajili ya kuzaa tuu na si vinginevyo sijui kupenda na sina mpango wewe tulia kula papuchi ni mpaka nijiskie,ukichepuka ruksa ila nisijue ndo kanuni yangu ila utoto wa kujifanya najua kupenda sina nimeshaona wajinga wanavyoumbuka hadi wanachanganyikiwa kisa wanawake wao wameliwa
Unakuta mwingine mwanamke anaondoka anampa na hasara lakini anaenda kumbembeleza huwa nashindwa kumshangaa na namwambiaga mwanamke wangu athubutu aone kama ntamfuata,sinaga ujinga mimi
 
Mkuu watu juzi tu kaliwa mke wa mtu na mambo yote anatoa na aliolewa na bikra yake... Hawa watu huwez kuwa define, bikra is nothing ni suala la moyo na akili yake
Ishu ni kwamba usimchukulie mwanamke kama malaika ,mtu anafanya anachojiskia ila tujue ndoa ni kwa ajili ya kuzaa watoto na kusaidiana lakini mambo ya papuchi mtu anafanya na anayejiskia full stop but kwa kuwa mko kwenye ndoa lazim ujitahidi kujificha ndio heshima kama unaweza kutofanya na mwingine is okey
Lakini kwa mwanaume ni uongo kusema huwezi chepuka maana ukishalala na mwanamke matamanio kwake yanapungua unataka mpya tena hiyo ni asili na haina uhusiano na kupenda
 
Binti kaolewa wik mbil zilizopita.na anaweka kabisa status picha za harus,mumewe n.k

Ila huwez amin ninachochat nae hapa sasa hiv,na si ajab weekend hii nikaenda mla,..

Aibu naona mim.

Binti huyu aliwai kua dem wangu kitambo sana.daaah...kikombe hik kiniepuke ,skuhiz nmekua mwoga sana na wake za watu,kuna ki guilty flan hiv.namwonea mwana huruma kinoma yan

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake huwa hatusahau uliko kojozwa au ulikopata raha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom