Narudia tena, hakuna uwanja utajengwa pale Jangwani

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,470
Wanasema ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa.

Nilishatoa angalizo mara nyingi, hakuna uwanja wa mpira utakaokwenda kujengwa pale Jangwani.

Hizo habari za hati ni siasa tu. Ina maana uwanja wa Kaunda haukuwa na hati?

Tutarudi katika uzi huu mwaka 2030 hakutakuwa na uwanja utakaokuwa umejengwa pale.

Pitia nilichowahi kusema kuhusu hizi porojo.
 
Wanasema ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa.

Nilishatoa angalizo mara nyingi, hakuna uwanja wa mpira utakaokwenda kujengwa pale Jangwani.

Hizo habari za hati ni siasa tu. Ina maana uwanja wa Kaunda haukuwa na hati?

Tutarudi katika uzi huu mwaka 2030 hakutakuwa na uwanja utakaokuwa umejengwa pale.
Sababu ni zipi?
 
Attachments

  • IMG-20250912-WA0014.jpg
    IMG-20250912-WA0014.jpg
    18.9 KB · Views: 18
Wanasema ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa.

Nilishatoa angalizo mara nyingi, hakuna uwanja wa mpira utakaokwenda kujengwa pale Jangwani.

Hizo habari za hati ni siasa tu. Ina maana uwanja wa Kaunda haukuwa na hati?

Tutarudi katika uzi huu mwaka 2030 hakutakuwa na uwanja utakaokuwa umejengwa pale.
Huu ndio ukweli mchungu hapo uwanja hamna?kitu
 
Wanasema ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa.

Nilishatoa angalizo mara nyingi, hakuna uwanja wa mpira utakaokwenda kujengwa pale Jangwani.

Hizo habari za hati ni siasa tu. Ina maana uwanja wa Kaunda haukuwa na hati?

Tutarudi katika uzi huu mwaka 2030 hakutakuwa na uwanja utakaokuwa umejengwa pale.
wee ni mpumbavu
 
Ukijengwa wakufanye nini wanayanga ?
 
Kwani shida yenu ilikuwa ni hati?
Shida ni eneo la Kaunda lilikuwa halitoshi. Serikali imewaongezea Yanga eneo ambalo lipo kwenye mpango wa World Bank, na hivyo ilikuwa ni lazima itolewe hati mpya.

Kwenye hili naweza kuwatetea viongozi. Na siku ya mkutano mkuu wa klabu, Injinia Hersi pamoja na Waziri/Naibu Waziri wa ardhi (Deo Ndejembi), alitolea pia ufafanuzi.
 
Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo.

Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa maji, hakuna Shirika au Kampuni yoyote ya Bima itaenda kukubali kudhamini mradi wa uwanja wa mpira eneo lile na bila Bima hakuna Benki itaenda kutoa pesa zake kuufadhili. Tukifikia hapo hata uende kuhonga wanasiasa na watendaji wa halmashauri ni kazi bure tu. Ukiona Shirika la Bima la Taifa (NIC) wamekubali kufadhili mradi huu, jua haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi kama ambavyo wanapoteza pesa za umma kwa kutoa pesa za wachezaji wa mwezi kwa katimu kasiko na mbele wala nyuma.

Namhusia CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) aanze mapema kutupia jicho kali mradi wa Bonde la Msimbazi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia ili kujihakikishia kuwa pesa za serikali zilienda kufanya yale yaliyokusudiwa badala ya kufadhili ndoto za alinacha za Deportivo de Utopolo.

Eneo lote ambalo zamani lilikuwa ni Uwanja wa Kaunda inabidi lichukuliwe na Serikali kwa ajili ya kupitisha maji na jengo lao libomolewe ili zijengwe kingo za kuzuia maji pamoja na bustani kama ambavyo mradi wa Bonde unavyotaka. Kama mko serious kwenye kutatua changamoto za mafuriko hatutakiwi kucheka na kima. Msituchanganye na hadaa zenu za uzinduzi wa jengo la miaka 40 iliyopita na viongozi wa Serikali waache kutumika katika hizi danganya toto.

Povu ruksa.

Nawakumbusha tu si kwa ubaya maana kila hizi taarifa zikija mlishaanza kuwa mnanitag ili kunizodoa kumbe bado mnaombaomba eneo.

Werevu tulishawaambia hakuna uwanja utajengwa paleee. Leo mnaanza kujiaminisha World Bank watawapa mkopo, umeshasikia wapi WB wanatoa mikopo kwa taasisi binafsi achilia mbali zisizo na kichwa wala mguu kama Deportivo de Utopolo?
Nikishawaambia achaneni na hizi habari za uwanja pale Jangwani. Mnacheleweshwa na kuchezewa kama vinyago. Pitieni hizo post mbili hapo juu.

Sababu ni zipi?

Na vipi ikatokea ukajengwa!

Yeye na 🆔 zake zote tunampiga life ban

Land alienation, forced labour, etc

Roho ya uchawi ni mbaya sana...

Safari hii ngoja tuone kama zitaendele kuwa porojo za miaka nenda, au tutegemee mabadiliko.

Kwa hiyo muda utaongea.

Ukijengwa wakufanye nini wanayanga ?

mods wasifute uzi mwasibu tumemzoea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom