Narudia: Polepole, you made a very big mistake, a very big One!

Narudia: Polepole, you made a very big mistake, a very big One!

Unfortunately Humphrey Polepole wasn't intelligent at any level!! Had he been at least averagely intelligent, he wouldn't have been trapped so easily

Ridiculous!

IMG_20251026_124456.jpg
 
Staring Kanyamazishwa lakini movie si inaendelezwa na Kapteni Tesha?
Hili jambo la kawaida harakati za ukombozi-"kunyamazishwa"shujaa Steve Biko hakujazuia harakati za ukombozi Afrika Kusini ya makaburu.
 
Amekufa leo ipo siku watakuja kujibu mauaji yote waliyofanya
 
Sio confirmed but inawezekana kwa matukioa mengi yamefanyika nyuma, serikali ipo kimya na inakataa
Mange Kimambi alisema kuwa comrade kafungiwa kwenye nyumba ya Makonde Kigamboni.
 
Hiki sasa ndicho mtanzania amebarikiwa. Hiki kipaji karibu kila mtanzania anacho. Kukaa pembeni na kukosoa. Tuko vizuri kweli kweli. (Nikiwemo mimi).
Alikosea sana kuwa hapa wakati anajua kuna utekaji wa wakosoaji wa serikali. As long as yeye alikuwa nje, angelibaki huko na walio ndani wakapambama na wakiwa wanajulikana.
Naomba awe hai! Mungu ni mwema
 
Nimeshindwa kumlilia wala kumlaumu, kamwe hakupaswa kuja nchini...kosa la kiufundi alifanya
Sasa ona sterling amekufa na "movie" imeishia hapo.

Ulijiaminishaje kuwa hapa? Mimi nilidhani uko kambi ya "jeshi" inakulinda...... Kumbe uko kwa Mtogole

Machozi yangu yanakulilia!

Pumzika kwa Amani huko uliko...kwa Mungu au kwa Lolimu au Lefema!

You made a very regrettable mistake!
Hak
 
Mwashambwa ikitokea lakutokea, utaona kuwa uonevu ni mbaya...utachwanwa vipande vipande na nyama yako kusambazwa kote Tanganyika
Huyu siku ya kukiwasha niachieni mimi
ni mapigo na mwendo hawa wajinga hautakiwi kuwahurumia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom