Narudia: Polepole, you made a very big mistake, a very big One!

Narudia: Polepole, you made a very big mistake, a very big One!

Vipi kuhusu komando tesha?.kitendo cha kuja online na kusema kile alichokisema nikajua anachokitaka ni fruitless.
he could have shot to kill na sio kuja YouTube.
 
Angekuwa na option ya kufunga mdomo na kufurahia mema ya nchi ila nafasi ilimsuta akaamua atoe ya moyoni na moyo wake akatulia, kimsingi hana deni na viazi vijavyo vitamkumbuka kwa mchango/misimamo yake.
 
Muhimu pole pole hatumdai, Vita kavipigana na Mwendo kaumaliza
Naunga mkono hoja, tena vita vyenyewe sio vita tuu, ni Humphrey Polepole amepigana vita vilivyo vita vilivyo vitakatifu, imani ameilinda, mwendo ameumaliza.

Ila watesi wake nao yatawakuta ya kuwakuta. Karma itawashughulikia. Thread 'Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?' GE2025 - Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?
P
 
Ulijiaminishaje kuwa hapa? Mimi nilidhani uko kambi ya "jeshi" inakulinda...... Kumbe uko kwa Mtogole

Machozi yangu yanakulilia!

You made a very regrettable mistake!
Akina sisi washauri wa Bure tulimshauri. Thread 'Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini' Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini

Hili lilipotokea tukamshauri tena Thread 'Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!' GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!

Na tena
Thread 'Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.' GE2025 - Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.
P
 
Nyinyi kapambaneni ..sisi tutanaki tuishi kwa haki ili tuje tuwasimulie huko mbinguni
Uko sahihi. 29 tipate ujasiri tufe wengi lkn watakao baki waishi kwa haki na amani
 
Sasa ona sterling amekufa na "movie" imeishia hapo.

Ulijiaminishaje kuwa hapa? Mimi nilidhani uko kambi ya "jeshi" inakulinda...... Kumbe uko kwa Mtogole

Machozi yangu yanakulilia!

Pumzika kwa Amani huko uliko...kwa Mungu au kwa Lolimu au Lefema!

You made a very regrettable mistake!
Kama alikubali kufa haiwezi kuwa mistake.

Ila hakuwa na strategy ya kumkabiki Samia alivyotaka asigombee urais.
 
Polepole either alisalitiwa wakamkimbia wenzake dakika za mwisho au alizidiwa tu kihalali wapinzani wake wakaibuka washindi. Tusimlaumu sana.
 
Alipaswa angalau awe na silaha....

Bwana Zakaria wa Tarime aliwafunza jambo
 
Polepole alizingua. Kwamba Roma na Mange wanaweza kufikiria vizuri zaidi ya Balozi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom