Narudia: Polepole, you made a very big mistake, a very big One!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,291
Reaction score
96,525
Sasa ona sterling amekufa na "movie" imeishia hapo.

Ulijiaminishaje kuwa hapa? Mimi nilidhani uko kambi ya "jeshi" inakulinda...... Kumbe uko kwa Mtogole

Machozi yangu yanakulilia!

Pumzika kwa Amani huko uliko...kwa Mungu au kwa Lolimu au Lefema!

You made a very regrettable mistake!
 
Ulijiaminishaje kuwa hapa? Mimi nilidhani uko kambi ya "jeshi" inakulinda......
Kumbe uko kwa Mtogole

Mpira ni dakika 90 ndio kwanza tup dakika 80 na hii haimaanishi mpira umeisha
 
Sasa ona sterling amekufa na "movie" imeishia hapo.
Ulijiaminishaje kuwa hapa? Mimi nilidhani uko kambi ya "jeshi" inakulinda......
Kumbe uko kwa Mtogole
Machozi yangu yanakulilia!

Pumzika kwa Amani huko uliko...kwa Mungu au kwa Lolimu au Lefema!

You made a very regrettable mistake!
Mbegu ya ukomboz imepandwa we shangilia huku inachepua na kumea
 
Sasa ona sterling amekufa na "movie" imeishia hapo.
Ulijiaminishaje kuwa hapa? Mimi nilidhani uko kambi ya "jeshi" inakulinda......
Kumbe uko kwa Mtogole
Machozi yangu yanakulilia!

Pumzika kwa Amani huko uliko...kwa Mungu au kwa Lolimu au Lefema!

You made a very regrettable mistake!
What difference does this make?
 
Sasa ona sterling amekufa na "movie" imeishia hapo.
Ulijiaminishaje kuwa hapa? Mimi nilidhani uko kambi ya "jeshi" inakulinda......
Kumbe uko kwa Mtogole
Machozi yangu yanakulilia!

Pumzika kwa Amani huko uliko...kwa Mungu au kwa Lolimu au Lefema!

You made a very regrettable mistake!
Sure it was a great mistake nadhani marafiki zake wamemponza walimdanganya kurudi TZ.
Maana ukiwa hapa huwezi kujificha kuna kuumwa, watu.wako wa karibu lazima wakuchome tu
 
Sasa ona sterling amekufa na "movie" imeishia hapo.

Ulijiaminishaje kuwa hapa? Mimi nilidhani uko kambi ya "jeshi" inakulinda...... Kumbe uko kwa Mtogole

Machozi yangu yanakulilia!

Pumzika kwa Amani huko uliko...kwa Mungu au kwa Lolimu au Lefema!

You made a very regrettable mistake!
Kwa hiyo Watanzania sio salama tena tukiwa ndani ya nchi yetu.!!

Kwa hiyo Watanzania wote 60M tumekubali kuendelea na utekaji?

This must come to an end and for all.
 
Tunaufala mwingi sana ,ndiyo maana Kuna saa huwa nawaza hivi watanzania hatuna vielement vyauchoko kweli?

Yawezekanaje kakikundi tu kawa watu tena wengi wao vigonjwa gonjwa kuanzia Murilo ,Mafwele na wengineo ambao kama kweli tunaamua kuwakazia kweli show yao inapigwa mchana wa jua kali then game over .

Lakini kutwa kucha tumekuwa ni watu wa kulalamika kwenye mitandao kama machoko dah! Hadi leo nilitegemea kungelikwishaanza kusikia milipuko kutoka kwenye kila kona lakini kila mmoja anamsubiri mwenzake aanze .

Tukiendelea na huu ufala hawa mas_eng3 muda siyo mrefu wataanza kutubadilishia adhabu .

Tutakuwa tunachezea kif_ilo mmoja mmoja na hakuna atakaekua na uwezo wakunyanyua kinywa.

If is not now, Never
 
Tunaufala mwingi sana ,ndiyo maana Kuna saa huwa nawaza hivi watanzania hatuna vielement vyauchoko kweli?

Yawezekanaje kakikundi tu kawa watu tena wengi wao vigonjwa gonjwa kuanzia Murilo ,Mafwele na wengineo ambao kama kweli tunaamua kweli vile show yao ulinapigwa mchana wa jua kali then game over .

Lakini kutwa kucha tumekuwa ni watu wa kulalamika kwenye mitandao kama machoko dah! Hadi leo nilitegemea kungelikwishaanza kuwa na milipuko kwenye kila Kona lakini kila mmoja anamsubiri mwenzake aanze .

Huu ufala ukiendelea Hawa mas_eng3 sasa hivi wataanza kutubadilishia adhabu .

Uko sahihi. 29 tipate ujasiri tufe wengi lkn watakao baki waishi kwa haki na amani
 
Tunaufala mwingi sana ,ndiyo maana Kuna saa huwa nawaza hivi watanzania hatuna vielement vyauchoko kweli?

Yawezekanaje kakikundi tu kawa watu tena wengi wao vigonjwa gonjwa kuanzia Murilo ,Mafwele na wengineo ambao kama kweli tunaamua kweli vile show yao ulinapigwa mchana wa jua kali then game over .

Lakini kutwa kucha tumekuwa ni watu wa kulalamika kwenye mitandao kama machoko dah! Hadi leo nilitegemea kungelikwishaanza kuwa na milipuko kwenye kila Kona lakini kila mmoja anamsubiri mwenzake aanze .

Huu ufala ukiendelea Hawa mas_eng3 sasa hivi wataanza kutubadilishia adhabu .

Tutakuwa tunachezea kif_ilo mmoja mmoja na hakuna atakaekua na uwezo wakunyanyua kinywa.

If is not now, Never
Una hoja ila lugha yako ni ya ukakasi sana.
 
Sasa ona sterling amekufa na "movie" imeishia hapo.

Ulijiaminishaje kuwa hapa? Mimi nilidhani uko kambi ya "jeshi" inakulinda...... Kumbe uko kwa Mtogole

Machozi yangu yanakulilia!

Pumzika kwa Amani huko uliko...kwa Mungu au kwa Lolimu au Lefema!

You made a very regrettable mistake!
Hiki sasa ndicho mtanzania amebarikiwa. Hiki kipaji karibu kila mtanzania anacho. Kukaa pembeni na kukosoa. Tuko vizuri kweli kweli. (Nikiwemo mimi).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom