hivi CCM ina ubaya gani?, najua ndani ya CCM kuna watu wabaya kama ilivyo katika vyama vyote, lakini CCM kama chama ubaya wake siajauona
Hamna lolote niligundua roho chafu ya Makamba na Kikwete iliwavaa wana CCM wote. Capacity ya kufikiri iko kikomo!!!:A S angry: Kama unadhani nasema uongo kamsikilize Mkapa alivyokuwa anabwabwaja 31.10 utaelewa nini nasema. Wooote kwishneyKaribu sana!!! niPM nikupe tawi zuri la kujiunga, tuna nguvu ya ajabu kwenye ushawishi
Nini hiki?Kama hivi!!!View attachment 32359
Rudi kwani huo ni uamuzi wako binafsi, shida ni hii ulipojiunga CDM uliutangazia umma kuwa nahama CCM kwa sababu ni mafisadi na sasa unarudi kwa sababu ya ujinga wa CDM?Jamani mpaka sasa sijaona tofauti ya cdm zaidi ya ujinga tu na sera zisizo na tija najuta kuwapa kura yangu NARUDI CCM KUANZIA LEO
kumbe cdm ni ovyo kabisaa...sijaona la maana bungeni zaidi ya sifa za kijingaRudi kwani huo ni uamuzi wako binafsi, shida ni hii ulipojiunga CDM uliutangazia umma kuwa nahama CCM kwa sababu ni mafisadi na sasa unarudi kwa sababu ya ujinga wa CDM?
kwani ma great thinker wapo cdm pekee ccm hakuna?acha dharauRudi tu kwa mabwana zako kwani CDM walikuita? Hapa ni kwa Magreat thinker sio wendawazimu.. na tena hhukuwa na haja ya kutujulisha. Toka tu.