Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 57,623
- 91,666
Nina mpango wa kurudi CCM ili kwenda kuwahi urithi maana sasa CCM inakata roho, kwa mtu anaejua "stages of death" atakubali sasa kuwa CCM wapo kwenye "denial stage" yaani kujikataa/kujikana!!! kwa hio msishangae wanavyomkataa SIX, baada ya hapo mwisho itakua "Acceptance stage" yaani watakubali kwamba sasa muda wao umekwisha na ndipo wataingiza nchi ktk machafuko, turudini tukawahi MAJENGO na mashangingi kisha tuyauze na kununua ambulance badala ya BAJAJ!! nawakilisha