kaka hii Avatar yako du.....tafadhali ibadilishehii nayo ni hisia upuuzi.....! mi naona unaumwa wewe..!
kaka hii Avatar yako du.....tafadhali ibadilishehii nayo ni hisia upuuzi.....! mi naona unaumwa wewe..!
Sikumbuki kama alitangaza wakati anahamia CDM.we rudi kimya kimya kwani hauwezi rudi kimya kimya mpaka utangaze!?
kwani ma great thinker wapo cdm pekee ccm hakuna?acha dharau
Taja angalau mmoja!
Chadema kina uchungu na maisha ya watanzania ukilinganisha na ccm.wako taya kukataa posho ilimradi watanzania tufaidike.sio ccm.
Good riddance!Jamani mpaka sasa sijaona tofauti ya cdm zaidi ya ujinga tu na sera zisizo na tija najuta kuwapa kura yangu NARUDI CCM KUANZIA LEO
Mimi toka waanze kugusa mambo ya posho sina hamu nao, hawa jamaa ni hatari hawafai, wee fikiria wanapinga posho kwa wafanyakazi wa umma halafu hawaishinikizi serikali iongeze mshahara sasa mambo gani haya!! afadhali zimwi likujualo..........Jamani mpaka sasa sijaona tofauti ya cdm zaidi ya ujinga tu na sera zisizo na tija najuta kuwapa kura yangu NARUDI CCM KUANZIA LEO
Mimi toka waanze kugusa mambo ya posho sina hamu nao, hawa jamaa ni hatari hawafai, wee fikiria wanapinga posho kwa wafanyakazi wa umma halafu hawaishinikizi serikali iongeze mshahara sasa mambo gani haya!! afadhali zimwi likujualo..........
mbona wanaoponda ccm huwasemi? Hapa jf kwangu ni mahali muafaka wa kutoa hisia zanguIpi Dot Com! Yaani wewe ulijiunga JF kuja kueleza kuwa unarudi CCM? Kwani ulipojiunga JF ulituambia unatokea siyasa (chama) gani ili uwe-accepted kama member wa JF. Endapo umeingia JF mwezi March, na kipindi cha miezi miwili tu unakuja na hoja hii (sina hakika kama umewahikuanzisha thread nyingine zaidi ya hii), then hoja yako hii haina mshiko kwenye hadhira hii
Jana wamegombana kuhusu posho hawana msimamo bado tunaona cdm ni bora?NAHAMA JAMANI