Narudi CCM

hivi CCM ina ubaya gani?, najua ndani ya CCM kuna watu wabaya kama ilivyo katika vyama vyote, lakini CCM kama chama ubaya wake siajauona

CCM mi mbaya kwa sababu ilivyo kwenye imani yake (anagalau kwenye maandishi), inavyojisema ndivyo, sivyo kimatendo. Mbaya zaidi haijitathmini kulingana na matarajio waliyowapa watanzania. Mbaya zaidi hao wenye CCM hawana jinsi ya kujua adha za wananchi kwa sababu wanafaidi wanavyofaidi wakidhani wananchi wanaridhika. Wana uwezo sasa wa kuwanunua wapiga kura kwa mtaji wa ujinga, na umasikini. UPO HAPO?
 
Yes, naichukia CCM than anything, maamuzi ya kiji... yanayofanywa na viongozi wao ndio mauti yetu watanzania
 
Karibu sana!!! niPM nikupe tawi zuri la kujiunga, tuna nguvu ya ajabu kwenye ushawishi
 
Haaahaaa Bw. Alkali/Acid huko sirudi huko hata kwa dawa labda mnitoe kafara!!!
 
Karibu sana!!! niPM nikupe tawi zuri la kujiunga, tuna nguvu ya ajabu kwenye ushawishi
Hamna lolote niligundua roho chafu ya Makamba na Kikwete iliwavaa wana CCM wote. Capacity ya kufikiri iko kikomo!!!:A S angry: Kama unadhani nasema uongo kamsikilize Mkapa alivyokuwa anabwabwaja 31.10 utaelewa nini nasema. Wooote kwishney
 
Jamani mpaka sasa sijaona tofauti ya cdm zaidi ya ujinga tu na sera zisizo na tija najuta kuwapa kura yangu NARUDI CCM KUANZIA LEO
 
Jamani mpaka sasa sijaona tofauti ya cdm zaidi ya ujinga tu na sera zisizo na tija najuta kuwapa kura yangu NARUDI CCM KUANZIA LEO

Kama hivi!!!
IMG_1285.JPG
 
Rudi tu kwa mabwana zako kwani CDM walikuita? Hapa ni kwa Magreat thinker sio wendawazimu.. na tena hhukuwa na haja ya kutujulisha. Toka tu.
 
Jamani mpaka sasa sijaona tofauti ya cdm zaidi ya ujinga tu na sera zisizo na tija najuta kuwapa kura yangu NARUDI CCM KUANZIA LEO
Rudi kwani huo ni uamuzi wako binafsi, shida ni hii ulipojiunga CDM uliutangazia umma kuwa nahama CCM kwa sababu ni mafisadi na sasa unarudi kwa sababu ya ujinga wa CDM?
 
Rudi kwani huo ni uamuzi wako binafsi, shida ni hii ulipojiunga CDM uliutangazia umma kuwa nahama CCM kwa sababu ni mafisadi na sasa unarudi kwa sababu ya ujinga wa CDM?
kumbe cdm ni ovyo kabisaa...sijaona la maana bungeni zaidi ya sifa za kijinga
 
Nenda kwa kwa majangiri wenzako wanaotumia makamasi kufikiria badala ya ubongo akili wamezifungia kabatini,wanazidi kuwatesa watanzania kwa dhuruma wanayofanya.ANGUKO LA MAGAMBA LIMETIMIA.
 
Hukuja na tarumbeta unaondoka na vuvuzela, umekuta watu wanafikirisha vichwa na kwa kuwa unafikirisha tumbo umeona bora uende kwa wenzako, nenda kashibe leo kesho ulale na njaa
 
Back
Top Bottom