Narudi CCM

Hukuja na tarumbeta unaondoka na vuvuzela, umekuta watu wanafikirisha vichwa na kwa kuwa unafikirisha tumbo umeona bora uende kwa wenzako, nenda kashibe leo kesho ulale na njaa
ni chama pekee hakina umimi kama cdm
 
kijana wa Nape aliyetumwa huyu.Unatoka mmoja wanaingia watano.Na mapambano yanaendelea.Kanawishe kuku miguu wewe dot nata
 
Si urudi we kenge umeshindwa hoja umegundua kichwani kwako ni makamasi tu,toka faster usituambukize uvivu wenu huku ni Great thinker sio mipasho yenu.
 
kabla ya kurudi CCM tembelea zahanati za kigoma na tabora kisha ukaangilie ofisi za ATC,kisha mashamba ya katani segera tanga,kisha iangalie reli na treni ya kutoka tanga,arusha mpaka dar.kaangalie hali za wananchi wanaozunguka migodi ya barick halafu linganisha na watawala wanapokutana dodoma
 
Jamani mpaka sasa sijaona tofauti ya cdm zaidi ya ujinga tu na sera zisizo na tija najuta kuwapa kura yangu NARUDI CCM KUANZIA LEO

sioni ajabu kwani najua kuna benefit unaipata...njaa mbaya ndugu! angalia nchi yako kwanza
ni mtazamo tu..
 
kabla ya kurudi CCM tembelea zahanati za kigoma na tabora kisha ukaangilie ofisi za ATC,kisha mashamba ya katani segera tanga,kisha iangalie reli na treni ya kutoka tanga,arusha mpaka dar.kaangalie hali za wananchi wanaozunguka migodi ya barick halafu linganisha na watawala wanapokutana dodoma
matatizo hayo yapo mpaka usa,binafsi nimeyaona south afrika mnakosema wako juu,NARUDI CCM
 
Cdm walichonga sana kuhusu madini,mara zitto akapewa kamati hakuna alilofanya la kule sasa hivi kaanza na posho hakuna la maana pale
 
Rudi kwa vilaza wenzio waliokutuma, bahati yako humu JF hakuruhusiwi kutukana
 
You dont deserve uanacha wa cdm. yaani mijitu mingine imeenda shule lakini ina mawazo kama ile mizee kule kijijini inauza kura kwa tshirts.
 
Back
Top Bottom