Napitia kipindi kigumu sana, naomba msaada wenu wana JamiiForums

Napitia kipindi kigumu sana, naomba msaada wenu wana JamiiForums

IMG_7161.png
 
Wakuu, sijawahi kupitia unyonge,upweke na wasiwasi kama huu ninaopitia hivi sana. Mpenzi wangu ni mwana chuo katika chuo mkoa X, wanakatazwa kutumia simu, huwa anatumia simu za walimu wake akitaka kuongea na mimi. sasa ni wiki ya tatu hanitafuti,moyoni naumia sana mwenzie, nampenda, sijaona sms yake wala call yake for 3rd week, naombeni ushauri, maana ninakoelekea sikujui.
Kakuongopea anakuja ghetoni kwangu
 
Back
Top Bottom