Naombeni msaada, mwenzenu napitia kipindi kigumu sana cha Msongo wa Mawazo

mactal

Member
Nov 14, 2016
71
95
Habari za jioni wana jamii wenzangu.

Naombeni msaada mwenzenu napitia kipindi kigumu sana cha msongo wa mawazo, nahitaji mtu wa kukaa tukaongea tu nimechoka na sasa naogopa kukaa ndani peke yangu. Nilijitahidi nibadilishe mazingira lakini bado hali imegoma kukaa sawa.

Kusali nasali sana na biblia pia nasoma ila baada ya muda mawazo yananirudia, hali hii pia inachagizwa na hulka yangu mimi ni mpole sana hivyo mimi kutokua mtu wa kujichanganya sana na watu (watu wangu wa karibu nakosa nguvu ya kuongea nao kwa sababu nisiwaumize).

Naomba Msaada wa mawazo tafadhali, asanteni sana Mungu awabariki.
 
Just live man hakuna msaada wa kimawazo unaweza pata ukakutoa kwenye hii situation.Kumbuka unajijua vema kupita mtu yoyote yule and again,you are responsible for whatever situation your are going through.Pole najua unahitaji faraja but the world is against the weak.
Pray,pray,pray and don't forget death favors no man so ishi
 
Back
Top Bottom