Napitia katika changamoto kubwa

Ulivoeleza inaonekana ni kweli unahitaji zaidi ya kila kitu! Mi nakushauri ungepanua wigo kwa kuondoa kipengele cha dini,

Itasababisha wagombea tuwe wengi

Itakusaidia ww kwamba mtu atakuwa free kukuambia yy ni muislam na ww ukapata nafasi ya kupembua vigezo vingine alivonavyo,
Kuliko uje umpate muislam kanisani huku ukijua ni mkristo!
Mpaka uje ujue, too late!

Kudeclaire interest...Mimi ni muislam, naomba nafasi"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujachelewa hembu njoo PM tunaweza kuelewana,ni wakati sasa sitakuwa tayari uendelee kuyapitia magumu ikiwa me nipo hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hebu Muombe Mungu tena na tena na usikate tamaa achana na novena piga magoti muombe Mungu bila novena hiyo utaniambia mimi Mungu hajawahi kuniangusha.Mungu ni mwema sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Life can be very unfair sometimes
Mambo ya Mungu mda mwingine dahh
Yaani acha tu. Kuna dada nae alipitia wakati mgumu kama mtoa mada mwisho akapata mume, ila hiyo ndoa alijuta angejua hata asingeolewa. Mwisho wa siku aliamua mwenyewe kuondoka bila kufukuzwa na hataki tena kusikia kitu inaitwa kuolewa.

Haya maisha kuna wakati yanakuwa soo unfair.
 
Ndugu we, kama ulivyoamua kumtegemea MUNGU toka mwanzo, endelea hivyo hivyo. Usikate tamaa. Nakuombea Mungu akutimizie haja ya moyo wako, ila tambua pia mtoto ni zawadi inayojitegemea. Hofu yangu ni kuwa unaweza ukaolewa, ila ukichelewa kupata mtoto utavurugikiwa tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ka akitokea ndo usi enjoy uje everything happens for a certain reason. Ukijua hilo wala hupati stress

Sent using Jamii Forums mobile app
Stress ziko pale pale mkuu unless mawazo yako yatimie kama ulivyokusudia awali kinyume na hapo umetengeneza hisia ili kuendana na mazingira yanayokuandama!
 
1.tatizo mashariti mengi mno
2.inaonekana upo mwanza mjini lakin ungekuwa usukuman kabisa ungekuwa mke wa mtu,kule haachwi mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daby, sikutegemea kama uko vizuri eneo hili. Nahitaji na mimi unifunde (japo sitafuti)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…