Napita katika majaribu mapya

Napita katika majaribu mapya

kweli baadhi ya wanaume tuna matatizo sana hatujui hata tunataka tufanyiwe jema gani, hivi yule aliyekuja lalamika mkewe anapenda kuangalia mpira ni ndugu yako?
 
Salaam

Nimeshtushwa kidogo na tabia ya wife ambayo hapo kabla alikuwa hana hivi sasa mapenzi yamekuwa moto kiasi cha kuanzisha yeye shughuli nzima ya faragha na amekuwa hivi sasa ana mitindo mipya ya faragha,hata jina la baba nani sasa hivi halipo naitwa haya ya vijana darl au baby pia hataki ule mchezo tuupige kitandani na wakati wa kunitayarishia chakula atahakikisha nakula ziro distance huku akipapasa mgongo mmh

wadau hali hii kidogo inanitisha sasa sijui ndio ameamua kubadilika tu au natakiwa kupigwa mzinga nikawajengee wake sababu mabadiliko yamekuja ghafla

Au ndio nafunikwa macho afanye yake na serengeti
Kwani umemnunulia smart phone? atakuwa anaangalia porno anajufunzia huko au kuna group la whatssap jipya linamfundisha mambo ya kikubwa
 
Ndio siri ya mafanikio labda inapatikana huko lakini mabadiliko hayaji bure
 
kweli baadhi ya wanaume tuna matatizo sana hatujui hata tunataka tufanyiwe jema gani, hivi yule aliyekuja lalamika mkewe anapenda kuangalia mpira ni ndugu yako?
Mkuu kuna mitego ya aina nyingi
 
Atakuwa kaachana na mchepuko wake akili yote amehamishia kwako sasa
 
Ila watu tuko tofauti sana!
Mi muda wa kula na kulala nauheshimu sana sana sana.sipendi 'bughudha' muda huo.nataka kuwa free mno na ku enjoy the moment so hapo labda ingenishtua kama ningekua wewe....ila huko kwingine jamaa yangu mbona ndo wanaume wengi tunayotaka aisee!!??
sio majaribu hayo sheikh wangu
 
Wababa bhana [emoji38] [emoji38] [emoji38]

LOVE ABOVE ALL[emoji173]
 
Amefundishwa na kashikaji flan ivi mm nakajua vzr sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom