Napita katika majaribu mapya

Napita katika majaribu mapya

Kama mwanzo alikuwa hakufanyii kaamua kubadilika tatizo liko wapi.
 
Ila watu tuko tofauti sana!
Mi muda wa kula na kulala nauheshimu sana sana sana.sipendi 'bughudha' muda huo.nataka kuwa free mno na ku enjoy the moment so hapo labda ingenishtua kama ningekua wewe....ila huko kwingine jamaa yangu mbona ndo wanaume wengi tunayotaka aisee!!??
sio majaribu hayo sheikh wangu
mageni haya sheikh
 
Ufundi kama huo yaelekea ulizoea kuupata kwenye michepuko sasa kauleta mkeo, badala ya kufurahia unaanza kuwa na mashaka, hamna jema!
 
Mkuu;
Inaonesha ulikuwa umesha m grade kwa chini ya wastani kabisa. Mwenzio machale yamemcheza akajua kuwa atapoteza nafasi yake moyoni mwako. Usiogope, wenzetu hawa wakiamua kujituma hujituma kweli kweli. Na hapo ni mwanzo ngoja aingie 6x6 hadi utaomba kamba ufungiwe juu.
 
Mkuu;
Inaonesha ulikuwa umesha m grade kwa chini ya wastani kabisa. Mwenzio machale yamemcheza akajua kuwa atapoteza nafasi yake moyoni mwako. Usiogope, wenzetu hawa wakiamua kujituma hujituma kweli kweli. Na hapo ni mwanzo ngoja aingie 6x6 hadi utaomba kamba ufungiwe juu.
aha ahaa ahaa hapa kwenye kamba unanikumbusha msichana wangu wa kimakonde zama hizo
 
Tunza ndoa kijana shemeji amepata darasa huko nje(inaweza kuwa saloon, kwenye kitchen party ama kwa mashoga zake).
Boresha mahusiano
 
Salaam

Nimeshtushwa kidogo na tabia ya wife ambayo hapo kabla alikuwa hana hivi sasa mapenzi yamekuwa moto kiasi cha kuanzisha yeye shughuli nzima ya faragha na amekuwa hivi sasa ana mitindo mipya ya faragha,hata jina la baba nani sasa hivi halipo naitwa haya ya vijana darl au baby pia hataki ule mchezo tuupige kitandani na wakati wa kunitayarishia chakula atahakikisha nakula ziro distance huku akipapasa mgongo mmh

wadau hali hii kidogo inanitisha sasa sijui ndio ameamua kubadilika tu au natakiwa kupigwa mzinga nikawajengee wake sababu mabadiliko yamekuja ghafla

Au ndio nafunikwa macho afanye yake na serengeti
Kama huwezi kazi naamini kuna vijana wanaweza kukusaidia hapa, wape namba ya mkeo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom