Napingana na wanaosema Afya ya Rais si siri

Nimpongeze Mhe. Rais kwa kuamua kukaa chini na kufanya kazi za ofisi ikiwemo kuhakikisha mambo nyeti yaliyokuwa yanasimamiwa na Marehemu Balozi Kijazi yanakabidhiwa kiutaratibu kwa mrithi wake.

Kuondoka ghafla kwa Mhe Kijazi si Jambo dogo kwenye utawala wa nchi, huyu alikuwa mshauri mkuu wa Rais na aliyahifadhi mengi ambayo hakuna mwingine aliyeweza kuyafahamu isipokuwa watu wawili labda na wsaidizi wao. My

Kwa kiongozi anayeliwazia mema na Taifa na kiongozi aliyefanya kazi kubwa ya mageuzi kwenye utumishi na mfumo wa serikali ikiwemo kupambana na ufisadi lazima akae ayapitie majalada yote nyeti nakutoa marlekezo kwa Katibu Mkuu Kiongozi.

Lakini pia ipo hoja ya kuumwa, sidhani kama kukaa ofisini ukafanya kazi zako kumekatazwa kikatiba, hakuna sehemu katiba inamtaka Rais anatakiwa aonekane mara ngapi kwa wiki,mwezi au mwaka. Hivyo kukaa kwake kimya si kinyume Cha sheria.

Tatu Rais aendeshwi kwa matakwa ya watu flani wenye maslahi yao binafsi kwamba leo watamwambia ongea akaongea na kesho wakamwambia nyamaza akanyamaza. Rais ni mkuu wa nchi na apaswi kuendeshwa na genge flani la watu. Hawa hawa mwaka jana walivumisha habari hizihizi lakini matokeo yalionekana. Tusipende kuibaka katiba kwa kuitumia vibaya au kuitafsiri tutakavyo.

Kama yupo mwenye ushahidi kwamba anaumwa aweke wazi na hapo ndipo zitaibuka hoja za kisheria na kikatiba na serikali itawajibika kujibu.

KUENDELEA KUMTAKA RAIS AJITOKEZE AACHE KAZI ALIZOKABIDHIWA NA SERIKALI NI UTOVU WA NIDHAMU DHIDI YA TAASISI HII NYETI. HATA AKIKAA MWAKA HAKUNA SEHEMU KATIBA INAMLAZIMU AJITOKEZE KUFANYA KAZI KWENYE MEDIA.

HONGERA SERIKALI KWA KUWEZA KUDHIBITI UPEPO WA WAHUNI WA MITANDAONI
Itafahamika tu mkuu tuvute subira.
 
Kwani rais wetu ni machinga kuwa tutamuona kila cona ya jiji pendwa la dar kazi yake ngumu sana tumpe mitano tena
 
Kwani katiba inasemaje? Kiongozi tuanzie hapo
Katiba ya JMT (1977):

33. -(2) Rais atakuwa Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu.

35.-(1) Shughuli zote za utendaji za Serikali ya Jamhuri ya Muungano zitatekelezwa na watumishi wa Serikali kwa niaba ya Rais.
(2) Amri na maagizo mengine yanayotolewa kwa madhumuni ya ibara hii yatathibitishwa kwa namna itakavyoelezwa katika kanuni zilizowekwa na Rais, kwa kuzingatia masharti ya Katiba hii.

kawombe SASA ULIZA SWALI LAKO
 
Nimpongeze Mhe. Rais kwa kuamua kukaa chini na kufanya kazi za ofisi ikiwemo kuhakikisha mambo nyeti yaliyokuwa yanasimamiwa na Marehemu Balozi Kijazi yanakabidhiwa kiutaratibu kwa mrithi wake.

Kuondoka ghafla kwa Mhe Kijazi si Jambo dogo kwenye utawala wa nchi, huyu alikuwa mshauri mkuu wa Rais na aliyahifadhi mengi ambayo hakuna mwingine aliyeweza kuyafahamu isipokuwa watu wawili labda na wsaidizi wao. My

Kwa kiongozi anayeliwazia mema na Taifa na kiongozi aliyefanya kazi kubwa ya mageuzi kwenye utumishi na mfumo wa serikali ikiwemo kupambana na ufisadi lazima akae ayapitie majalada yote nyeti nakutoa marlekezo kwa Katibu Mkuu Kiongozi.

Lakini pia ipo hoja ya kuumwa, sidhani kama kukaa ofisini ukafanya kazi zako kumekatazwa kikatiba, hakuna sehemu katiba inamtaka Rais anatakiwa aonekane mara ngapi kwa wiki,mwezi au mwaka. Hivyo kukaa kwake kimya si kinyume Cha sheria.

Tatu Rais aendeshwi kwa matakwa ya watu flani wenye maslahi yao binafsi kwamba leo watamwambia ongea akaongea na kesho wakamwambia nyamaza akanyamaza. Rais ni mkuu wa nchi na apaswi kuendeshwa na genge flani la watu. Hawa hawa mwaka jana walivumisha habari hizihizi lakini matokeo yalionekana. Tusipende kuibaka katiba kwa kuitumia vibaya au kuitafsiri tutakavyo.

Kama yupo mwenye ushahidi kwamba anaumwa aweke wazi na hapo ndipo zitaibuka hoja za kisheria na kikatiba na serikali itawajibika kujibu.

KUENDELEA KUMTAKA RAIS AJITOKEZE AACHE KAZI ALIZOKABIDHIWA NA SERIKALI NI UTOVU WA NIDHAMU DHIDI YA TAASISI HII NYETI. HATA AKIKAA MWAKA HAKUNA SEHEMU KATIBA INAMLAZIMU AJITOKEZE KUFANYA KAZI KWENYE MEDIA.

HONGERA SERIKALI KWA KUWEZA KUDHIBITI UPEPO WA WAHUNI WA MITANDAONI
Mbona umeandika upupu mtupu MKUU?. Kuondoka kwa kijazi na rais kutoonekana wiki takribani 2 kuna mahusiano gani, au unajarubu kuwaza kuwa mkuu bado yuko amejificha anaomboleza?.
Kwani nani anamuendesha rais?. Kwani tukitaka kujua hali yake ili tumuombee kwa MUNGU ni vibaya?. Mbona mnaogopa kivuli chenu wenyewe?.
 
Kwa tabia ya rais kuonekana kwenye vyombo vya habari kila siku toka aingie madarakani na sasa kutoweka ghafla kunaonyesha kuwa kuna tatizo pahali.

Kibaya zaidi ni pale serikali inapojaribu kuficha ukweli bila kujua kuwa muda wenyewe unaenda mbio na ndio utakaoleta ukweli siku chache zijazo.

Tumeongea humu mara kadha wa kadha kuwa hakuna binadamu special mbele ya Mungu lakini kuna watu wamekuwa wakimuona rais kama mtu tofauti hata machoni pa mwenyezi Mungu kitu ambacho sio kweli kabisa.

Hakuna kinachoweza kufichwa milele, ukweli utadhihiri tu na huenda serikali ikatafuta pa kuficha kichwa siku chache zijazo.
 
sahihi kabisa na mim nilitaka wala asitoke ku entratain this madnnes yan sasa tuwe tunaongonzwa na tiwita.mtu akikaa huko choon anatweet bas ndio apewe fursa.
hawana heshima na taasisi kubwa kama hii.
 
Nimpongeze Mhe. Rais kwa kuamua kukaa chini na kufanya kazi za ofisi ikiwemo kuhakikisha mambo nyeti yaliyokuwa yanasimamiwa na Marehemu Balozi Kijazi yanakabidhiwa kiutaratibu kwa mrithi wake.

Kuondoka ghafla kwa Mhe Kijazi si Jambo dogo kwenye utawala wa nchi, huyu alikuwa mshauri mkuu wa Rais na aliyahifadhi mengi ambayo hakuna mwingine aliyeweza kuyafahamu isipokuwa watu wawili labda na wsaidizi wao. My

Kwa kiongozi anayeliwazia mema na Taifa na kiongozi aliyefanya kazi kubwa ya mageuzi kwenye utumishi na mfumo wa serikali ikiwemo kupambana na ufisadi lazima akae ayapitie majalada yote nyeti nakutoa marlekezo kwa Katibu Mkuu Kiongozi.

Lakini pia ipo hoja ya kuumwa, sidhani kama kukaa ofisini ukafanya kazi zako kumekatazwa kikatiba, hakuna sehemu katiba inamtaka Rais anatakiwa aonekane mara ngapi kwa wiki,mwezi au mwaka. Hivyo kukaa kwake kimya si kinyume Cha sheria.

Tatu Rais aendeshwi kwa matakwa ya watu flani wenye maslahi yao binafsi kwamba leo watamwambia ongea akaongea na kesho wakamwambia nyamaza akanyamaza. Rais ni mkuu wa nchi na apaswi kuendeshwa na genge flani la watu. Hawa hawa mwaka jana walivumisha habari hizihizi lakini matokeo yalionekana. Tusipende kuibaka katiba kwa kuitumia vibaya au kuitafsiri tutakavyo.

Kama yupo mwenye ushahidi kwamba anaumwa aweke wazi na hapo ndipo zitaibuka hoja za kisheria na kikatiba na serikali itawajibika kujibu.

KUENDELEA KUMTAKA RAIS AJITOKEZE AACHE KAZI ALIZOKABIDHIWA NA SERIKALI NI UTOVU WA NIDHAMU DHIDI YA TAASISI HII NYETI. HATA AKIKAA MWAKA HAKUNA SEHEMU KATIBA INAMLAZIMU AJITOKEZE KUFANYA KAZI KWENYE MEDIA.

HONGERA SERIKALI KWA KUWEZA KUDHIBITI UPEPO WA WAHUNI WA MITANDAONI
Nilichopata hapa ni kwamba hata Makatibu Wakuu ni Waheshimiwa. Lakini pia hata wake wa Waheshimiwa ni Waheshimiwa pia. Sishangai kwani hata Wachungaji ni Waheshimiwa na wake zao hutajwa kama Mheshimiwa Mama Mchungaji. Hili neno sasa laonekana halina hadhi kama hapo zamani.
 
Nimpongeze Mhe. Rais kwa kuamua kukaa chini na kufanya kazi za ofisi ikiwemo kuhakikisha mambo nyeti yaliyokuwa yanasimamiwa na Marehemu Balozi Kijazi yanakabidhiwa kiutaratibu kwa mrithi wake.

Kuondoka ghafla kwa Mhe Kijazi si Jambo dogo kwenye utawala wa nchi, huyu alikuwa mshauri mkuu wa Rais na aliyahifadhi mengi ambayo hakuna mwingine aliyeweza kuyafahamu isipokuwa watu wawili labda na wsaidizi wao. My

Kwa kiongozi anayeliwazia mema na Taifa na kiongozi aliyefanya kazi kubwa ya mageuzi kwenye utumishi na mfumo wa serikali ikiwemo kupambana na ufisadi lazima akae ayapitie majalada yote nyeti nakutoa marlekezo kwa Katibu Mkuu Kiongozi.

Lakini pia ipo hoja ya kuumwa, sidhani kama kukaa ofisini ukafanya kazi zako kumekatazwa kikatiba, hakuna sehemu katiba inamtaka Rais anatakiwa aonekane mara ngapi kwa wiki,mwezi au mwaka. Hivyo kukaa kwake kimya si kinyume Cha sheria.

Tatu Rais aendeshwi kwa matakwa ya watu flani wenye maslahi yao binafsi kwamba leo watamwambia ongea akaongea na kesho wakamwambia nyamaza akanyamaza. Rais ni mkuu wa nchi na apaswi kuendeshwa na genge flani la watu. Hawa hawa mwaka jana walivumisha habari hizihizi lakini matokeo yalionekana. Tusipende kuibaka katiba kwa kuitumia vibaya au kuitafsiri tutakavyo.

Kama yupo mwenye ushahidi kwamba anaumwa aweke wazi na hapo ndipo zitaibuka hoja za kisheria na kikatiba na serikali itawajibika kujibu.

KUENDELEA KUMTAKA RAIS AJITOKEZE AACHE KAZI ALIZOKABIDHIWA NA SERIKALI NI UTOVU WA NIDHAMU DHIDI YA TAASISI HII NYETI. HATA AKIKAA MWAKA HAKUNA SEHEMU KATIBA INAMLAZIMU AJITOKEZE KUFANYA KAZI KWENYE MEDIA.

HONGERA SERIKALI KWA KUWEZA KUDHIBITI UPEPO WA WAHUNI WA MITANDAONI
Phew ...
So hao wabunge wa CCM wanaotoa pole na sali dua ni vichaa au ?
 
Nimpongeze Mhe. Rais kwa kuamua kukaa chini na kufanya kazi za ofisi ikiwemo kuhakikisha mambo nyeti yaliyokuwa yanasimamiwa na Marehemu Balozi Kijazi yanakabidhiwa kiutaratibu kwa mrithi wake.

Kuondoka ghafla kwa Mhe Kijazi si Jambo dogo kwenye utawala wa nchi, huyu alikuwa mshauri mkuu wa Rais na aliyahifadhi mengi ambayo hakuna mwingine aliyeweza kuyafahamu isipokuwa watu wawili labda na wasaidizi wao.

Kwa kiongozi anayeliwazia mema na Taifa na kiongozi aliyefanya kazi kubwa ya mageuzi kwenye utumishi na mfumo wa serikali ikiwemo kupambana na ufisadi lazima akae ayapitie majalada yote nyeti nakutoa marlekezo kwa Katibu Mkuu Kiongozi.

Lakini pia ipo hoja ya kuumwa, sidhani kama kukaa ofisini ukafanya kazi zako kumekatazwa kikatiba, hakuna sehemu katiba inamtaka Rais anatakiwa aonekane mara ngapi kwa wiki, mwezi au mwaka. Hivyo kukaa kwake kimya si kinyume Cha sheria.

Tatu Rais haendeshwi kwa matakwa ya watu flani wenye maslahi yao binafsi kwamba leo watamwambia ongea akaongea na kesho wakamwambia nyamaza akanyamaza. Rais ni mkuu wa nchi na hapaswi kuendeshwa na genge flani la watu. Hawa hawa mwaka jana walivumisha habari hizihizi lakini matokeo yalionekana. Tusipende kuibaka katiba kwa kuitumia vibaya au kuitafsiri tutakavyo.

Kama yupo mwenye ushahidi kwamba anaumwa aweke wazi na hapo ndipo zitaibuka hoja za kisheria na kikatiba na serikali itawajibika kujibu.

KUENDELEA KUMTAKA RAIS AJITOKEZE AACHE KAZI ALIZOKABIDHIWA NA SERIKALI NI UTOVU WA NIDHAMU DHIDI YA TAASISI HII NYETI. HATA AKIKAA MWAKA HAKUNA SEHEMU KATIBA INAMLAZIMU AJITOKEZE KUFANYA KAZI KWENYE MEDIA.

HONGERA SERIKALI KWA KUWEZA KUDHIBITI UPEPO WA WAHUNI WA MITANDAONI
Duu umenikumbusha kulala na mafile 'moto huohuo natumia kuandika kitabu changu nalala saa 8 kuamka saa 11.50
 
MKUU wewe nafikili ndo mtovu nzamu, kwani wahajili wa wananchi kutaka kujua mfanyakazi wao yu wapi Kuna shida gani ?leo mtu anauliza mh rais yu wapi inaonekana ni huani,? Hii imeanza lini tz, au ni maana ya serikali?serikali sio wakuu wa wilaya,mikoa,au bunge,mawazari, police,tiss, au kitu kingine,bali ni wananchi, Sasa hii umekaaje kutukuza serikali kuliko wahajili ambao ni wananchi?
Ccm mtubu msipo tubu yatawakuta makubwa asema bwana,Rudi kasomeni tofauti ya serikali na chama, tofauti ya serikali na Taifa tafadhali!
 
Alituzoesha kumuona mara kwa mara kwenye vyombo vya habari kutoonekana kwake kwa muda mrefu kunatuacha na maswali mengi kichwani lakini majibu ya viongozi wetu kuhusu alipo yamekuwa ya kimipasho kwa kiasi fulani kusema Rais si parish worker au Rais si wa kuzura kariakoo naona majibu haya hayajakaa vizuri Kwani wakisema Rais yupo salama anaendelea na kazi zake kuna shida gani?
 
Mtu ameparalaizi ghafla huko na kuzima (sijajua kama ameshazinduka) wee unasema anafanya kazi zake ofisini.
Naomba niishie hapo tafadhali
 
Nimpongeze Mhe. Rais kwa kuamua kukaa chini na kufanya kazi za ofisi ikiwemo kuhakikisha mambo nyeti yaliyokuwa yanasimamiwa na Marehemu Balozi Kijazi yanakabidhiwa kiutaratibu kwa mrithi wake.

Kuondoka ghafla kwa Mhe Kijazi si Jambo dogo kwenye utawala wa nchi, huyu alikuwa mshauri mkuu wa Rais na aliyahifadhi mengi ambayo hakuna mwingine aliyeweza kuyafahamu isipokuwa watu wawili labda na wasaidizi wao.

Kwa kiongozi anayeliwazia mema na Taifa na kiongozi aliyefanya kazi kubwa ya mageuzi kwenye utumishi na mfumo wa serikali ikiwemo kupambana na ufisadi lazima akae ayapitie majalada yote nyeti nakutoa marlekezo kwa Katibu Mkuu Kiongozi.

Lakini pia ipo hoja ya kuumwa, sidhani kama kukaa ofisini ukafanya kazi zako kumekatazwa kikatiba, hakuna sehemu katiba inamtaka Rais anatakiwa aonekane mara ngapi kwa wiki, mwezi au mwaka. Hivyo kukaa kwake kimya si kinyume Cha sheria.

Tatu Rais haendeshwi kwa matakwa ya watu flani wenye maslahi yao binafsi kwamba leo watamwambia ongea akaongea na kesho wakamwambia nyamaza akanyamaza. Rais ni mkuu wa nchi na hapaswi kuendeshwa na genge flani la watu. Hawa hawa mwaka jana walivumisha habari hizihizi lakini matokeo yalionekana. Tusipende kuibaka katiba kwa kuitumia vibaya au kuitafsiri tutakavyo.

Kama yupo mwenye ushahidi kwamba anaumwa aweke wazi na hapo ndipo zitaibuka hoja za kisheria na kikatiba na serikali itawajibika kujibu.

KUENDELEA KUMTAKA RAIS AJITOKEZE AACHE KAZI ALIZOKABIDHIWA NA SERIKALI NI UTOVU WA NIDHAMU DHIDI YA TAASISI HII NYETI. HATA AKIKAA MWAKA HAKUNA SEHEMU KATIBA INAMLAZIMU AJITOKEZE KUFANYA KAZI KWENYE MEDIA.

HONGERA SERIKALI KWA KUWEZA KUDHIBITI UPEPO WA WAHUNI WA MITANDAONI
Dawa ya deni ni kulipa...kunyamaza kunaongeza tu riba, hakufuti deni.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom