Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,398
- 2,990
Wakati nipo gerezani, sisi walikuwa wanatuwekea Chakula, Ila hata nilikuwa sili; Kwa kifupi Hakifai kikiwa cha moto and kikipoa is even worse.
Kwa kweli Kama Mbowe kapewa hii Kesi Ni Jambo Baya Sana Na La kutisha! Magereza Ndugu zangu is no place; Hakufai, Hakufai, Hakufai.
Ni dhuluma Mbaya Sana Kwa kweli Na Lazima itakuwa Na madhara Kwa wahusika, there is a way they will pay for this pain caused to this gentlemen!
Let’s wait and see; the burden of proof is squarely on the Government!