Balvejmumt
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,149
- 2,784
Ufafanuzi wakuu sijaelewa hii CodeMWAKA HUU KABLA MAJIRA YA MWAKA MPYA HAYAJAMEA TUNAZIKA TENA.
Ufafanuzi wakuu sijaelewa hii CodeMWAKA HUU KABLA MAJIRA YA MWAKA MPYA HAYAJAMEA TUNAZIKA TENA.
Atazikwa Gaidi, nasikia kisukari kinamsumbua sana huko jelaMWAKA HUU KABLA MAJIRA YA MWAKA MPYA HAYAJAMEA TUNAZIKA TENA.
Aibu gani?, Kesi ina aibu gani?, Mahakama ndo inahukumu haki, kama itaonekana hamna kosa ataachiwa na anahaki ya kufungua mashitaka ya False accusation na kudai fidia ,Usichokijua ni hiki.
Mbowe kunyoosha mkono na kuzungunzia chakula ni code language.
Mbowe kuitwa chemba na Jaji akiwa na mawakili wa pande zote ni coded kuna jambo mtambuka wanaenda kuwekana sawa.
Kama ilikuwa ni chakula tu, ilitakiwa amri ya Jaji itoke kwamba, watuhumiwa wawekewe ratio yao wanapotoka mahakani waikute huko mahabusu.
Kinacgotafutwa ni mazingira ya kuimaliza kesi kabla hatujaingia aibu zaidi.
Mimi ni CCM
Samia sio hakimu, shida mnaingiza siasa,,, binafsi najua mbowe ataachiwa huru,,,Wana haki ya kula embu tuone samia atasema nini kuhusu hili si mnasema ana huruma? Yetu macho.
Acha porojoUsichokijua ni hiki.
Mbowe kunyoosha mkono na kuzungunzia chakula ni code language.
Mbowe kuitwa chemba na Jaji akiwa na mawakili wa pande zote ni coded kuna jambo mtambuka wanaenda kuwekana sawa.
Kama ilikuwa ni chakula tu, ilitakiwa amri ya Jaji itoke kwamba, watuhumiwa wawekewe ratio yao wanapotoka mahakani waikute huko mahabusu.
Kinacgotafutwa ni mazingira ya kuimaliza kesi kabla hatujaingia aibu zaidi.
Mimi ni CCM
We huoni mbowe alivyokonda?, Wale wana miezi mitano wanakunywa uji tuKuna kitu sijakielewa hapa. Nimewahi kusikia kuwa gerezani chakula cha jioni kinaliwa mapema sana (pengine kabla ya 5pm). Sasa kama hawa wanatoka mahakamani 5pm, maana yake, wanakuta milo yote imeshapita. Wamewezaje kuishi kwa miezi mitano bila kula? Au labda wanatunziwa chakula cha jioni?
Hivi msosi si huwa wanapelekewa na ndugu zao au!?Askari ma gereza wamemfuata FREEMAN Mbowe, anahitajika ofisini kwa Jaji katika kikao cha pamoja na mawakili wa pande zote (serikali na utetezi), Washtakiwa wengine watatu bado wamebakia kizimbani.
Hapa Kuna utata na mahakama imeshindwa kabisa kusimamia Haki, ushahidi wa Upande wa utetezi unaonyesha Hawa askari makomando walipandikizwa kwenda Kwa Mbowe na walipobaini Kwamba Kuna viashiria vya uhalifu wakamjulisha Urio na ukamataji ukafanyika. Kwa hiki kilichotokea Leo mahakamani unabaini Kwamba mahakama na serikali vimeshindwa kutafsiri Hii kesi.
1. Kama maelezo ya watuhumiwa walikiri kwanini Leo wawekwe pamoja na Mhe. Mbowe?
2. Kama walikiri na wakasimama na Jamuhuri Mbowe afungwe kwanini Mbowe awe mtetezi wa watu ambao Jamhuri inatuaminisha ni maadui wa Mbowe?
3. Haki ya kula ni ya wote, nani amemwambia Mhe. Jaji Kwamba watuhumiwa watatu wanakubaliana na kauli ya Mbowe?
Ni kitu Gani kilichomkata Mhe. Jaji kuuliza mtuhumiwa mmojammoja kama kauli ya Mbowe ni kweli au so kweli? Au Mhe. Jaji alikuwa anatambua kinachoendelea akajifanya hajui?
Kwa upande wa mawakili wa upande wa serikali, kwanini awakupinga kauli ya Mbowe Kwamba Wana miezi mitano awali? Means wao walijua lakini wakaona ni sawa? Kwamba mawakili wa serikali walishindwa kuomba Mhe. Jaji ajiridhishe?
Mwisho, kitendo cha Jaji kujifanya afahamu watuhumiwa awali na wakati Kila siku anakaa nao Hadi saa Kumi na Moja si Jambo la kibinadamu Bora angekaa Kimya. Kibaya Zaidi badala akae Kimya anataka kumrushia mpira kibatala wakati Msajili amepelekewa Hiyo taarifa akaikalia.
Hata kama awa watu ni magaidi kama mnavyotaka jamii iamini haikuwa sahihi kuwanyima chakula. Masaa ishirini na nne watu wanakunywa uji kikombe kimoja kisa CHUKI za Kisiasa na mnataka watu waamini Tanzania tunapendana? Watu wapate magonjwa wafe kisa chakula? Its painfull
Kwahiyo unamaanisha?, Maana mi naona wamedhoofika sanaKikombe kimoja cha uji (tena uji wenyewe wa magereza) kwa saa 24 is as good as nothing. Ndiyo maana sikukihesabu hata kukihesabu. Ukijaribu kufanya hivyo kwa week hata moja, itabidi wawe wanakubeba badala ya wewe kutembea kwa miguu yako mwenyewe!
Hapo ndo mnabugi sana ,hakuna mtu atawapa upenyo wa kutawala hata chembe kwa msimamo hii ya kigaidiNa iwe hivyo tumechoka.
Wanafika mahakamani saa ngapi? Wanaondoka saa ngapi? Mpaka hapo huwezi jua kweli??Umesoma maelezo kwa makini kweli..?
Kwa nilivyoelewa mimi, si kwamba hawali kabisa. Bali wanakula mlo mmoja tu in 24hrs...
Ambacho hakijafafanuliwa hapa ni mlo upi (wa mchana, jioni au asubuhi) wasioupata...?
Mbona hukupanua domo lako wakati mbowe alipowasemea wenzake kuwa wanakosa chakula mpaka wanakonda mbweha we!Askari ma gereza wamemfuata FREEMAN Mbowe, anahitajika ofisini kwa Jaji katika kikao cha pamoja na mawakili wa pande zote (serikali na utetezi), Washtakiwa wengine watatu bado wamebakia kizimbani.
Hapa Kuna utata na mahakama imeshindwa kabisa kusimamia Haki, ushahidi wa Upande wa utetezi unaonyesha Hawa askari makomando walipandikizwa kwenda Kwa Mbowe na walipobaini Kwamba Kuna viashiria vya uhalifu wakamjulisha Urio na ukamataji ukafanyika. Kwa hiki kilichotokea Leo mahakamani unabaini Kwamba mahakama na serikali vimeshindwa kutafsiri Hii kesi.
1. Kama maelezo ya watuhumiwa walikiri kwanini Leo wawekwe pamoja na Mhe. Mbowe?
2. Kama walikiri na wakasimama na Jamuhuri Mbowe afungwe kwanini Mbowe awe mtetezi wa watu ambao Jamhuri inatuaminisha ni maadui wa Mbowe?
3. Haki ya kula ni ya wote, nani amemwambia Mhe. Jaji Kwamba watuhumiwa watatu wanakubaliana na kauli ya Mbowe?
Ni kitu Gani kilichomkata Mhe. Jaji kuuliza mtuhumiwa mmojammoja kama kauli ya Mbowe ni kweli au so kweli? Au Mhe. Jaji alikuwa anatambua kinachoendelea akajifanya hajui?
Kwa upande wa mawakili wa upande wa serikali, kwanini awakupinga kauli ya Mbowe Kwamba Wana miezi mitano awali? Means wao walijua lakini wakaona ni sawa? Kwamba mawakili wa serikali walishindwa kuomba Mhe. Jaji ajiridhishe?
Mwisho, kitendo cha Jaji kujifanya afahamu watuhumiwa awali na wakati Kila siku anakaa nao Hadi saa Kumi na Moja si Jambo la kibinadamu Bora angekaa Kimya. Kibaya Zaidi badala akae Kimya anataka kumrushia mpira kibatala wakati Msajili amepelekewa Hiyo taarifa akaikalia.
Hata kama awa watu ni magaidi kama mnavyotaka jamii iamini haikuwa sahihi kuwanyima chakula. Masaa ishirini na nne watu wanakunywa uji kikombe kimoja kisa CHUKI za Kisiasa na mnataka watu waamini Tanzania tunapendana? Watu wapate magonjwa wafe kisa chakula? Its painfull
Nakubaliana na wewe. For this case, it's obviously that, katika siku zote za kesi mahakamani huwa hawapati chakula cha mchana...Wanafika mahakamani saa ngapi? Wanaondoka saa ngapi? Mpaka hapo huwezi jua kweli??
Nimeota tunaomboleza mwezi MarchMWAKA HUU KABLA MAJIRA YA MWAKA MPYA HAYAJAMEA TUNAZIKA TENA.
Kwahiyo unamaanisha?, Maana mi naona wamedhoofika sana
Wanatunziwa mkuu....ila nadhani mahabusu wanatuhusiwa kiletewa chakula mahakamani na ndugu zao...ila aliyeleta anatakiwa ale kidogo kabla mtuhumiwa hajala kwa kuhofia kuwekewa sumu...hata gerezani mahabusu wanaruhusiwa kupelekewa chakula kutoka uraiani na ndugu zao.Kuna kitu sijakielewa hapa. Nimewahi kusikia kuwa gerezani chakula cha jioni kinaliwa mapema sana (pengine kabla ya 5pm). Sasa kama hawa wanatoka mahakamani 5pm, maana yake, wanakuta milo yote imeshapita. Wamewezaje kuishi kwa miezi mitano bila kula? Au labda wanatunziwa chakula cha jioni?
Umesoma maelezo kwa makini kweli..?
Kwa nilivyoelewa mimi, si kwamba hawali kabisa. Bali wanakula mlo mmoja tu in 24hrs...
Ambacho hakijafafanuliwa hapa ni mlo upi (wa mchana, jioni au asubuhi) wasioupata...?
Kuna kitu sijakielewa hapa. Nimewahi kusikia kuwa gerezani chakula cha jioni kinaliwa mapema sana (pengine kabla ya 5pm). Sasa kama hawa wanatoka mahakamani 5pm, maana yake, wanakuta milo yote imeshapita. Wamewezaje kuishi kwa miezi mitano bila kula? Au labda wanatunziwa chakula cha jioni?