Napinga kwa michezo kuingizwa kwenye siasa

Napinga kwa michezo kuingizwa kwenye siasa

Simba wameleta aibu kubwa sana....Club kubwa kama Simba imekubali kutumika kisiasa na kupoteza hadhi yake....Hata mm ni mshabiki wa Simba tena damu, ila ............!!!!
 
Nilikuwa shabiki mkubwa wa simba, nimemuona julio akimfagilia kamanda wa jeshi la kijani na chama chake. Kuanzia leo natangaza kuacha kabisa kuishabikia simba, naangalia timu nyingine ya kuishabikia. Nimefuatilia timu za nje ya nchi na ulaya sijaona timu inayojihusisha na masuala ya kisiasa kama simba
 
Mpeni basi like mwanzisha maada wajameni! Ihhhhhh!
 
Hata mimi ctaki tena simba bora nishabikie stendi united ya shinyanga klabu kubwa kama simba kutumika kama condom imeniuma sana timu niliyoipenda kutumiwa na m_e_n_e kwa ajili ya political interest
 
kutokana na kitendo cha club ya simba kukubali kutumika kwa malengo na madhumuni ya kisiasa walipokodiwa na mwigulu nchemba ili kuwahadaa wananchi wa kiomboi Iramba ili wasiende kutoa maoni ya katiba yao kwenye mabaraza ya chadema,

MIMI JOGI, NIKIWA NA AKILI TIMAMU, SIJASHAWISHIWA NA MTU NATANGAZA KUHAMIA IGEMBENSABO YA SHINYANGA.

potelea mbali, liwalo na liwe.


jiorodhesheni mnaoniunga mkono.

Tatizo pia liko kwa mwenyekiti wa simba Msomali Rage nae ni Gamba wanaitumia simu kisiasa.
 
Huyu Rage anaipeleka pabaya sana Simba.....Na sasa nimeamini kwamba hata udhaifu ilionao simba kiuchezaji kwa sasa unatokana na siasa zake za kuihujumu timu huku akitegemea fadhila za kisiasa kutoka kwa baba Riz...Kwa issue hii inabidi wanachama wa simba tuchukue hatua stahiki dhidi ya huyu Al shabab kwanini Mwigulu asipeleke timu yake anayoipenda?? Tena ambayo ina historia ndefu na CCM??

NI MWANACHAMA WA SIMBA TENA SHABIKI WA DAMU.
 
...wanachama,wapenzi na washaki wa timu ya simba,fanyeni juhudi za makusudi kuinusuru timu yenu kuunganishwa ktk laana inayoiandama Chama Cha Mateja(CCM)..."MSIJESEMA SIKUWA-TAHADHARISHA"...
 
Kwa huu ujinga simba waliouonyesha kuchezea mustakabali wa taifa kwa ajili ya chuki za kisiasa zinazoratibiwa na uwehu wa Mwigulu Nchemba na kwenda kucheza mchangani nimejitoa rasmi simba kuanzia leo mchana na kwa hasira niliyokuwa nayo nimechomelea mbali litishirt lao nililochukua mwaka jana..Shame on you Kiwelu na simba yote..to heal!!
 
Mimi ni mshabiki wa kweli wa Simba na kuhama ushabiki wa timu ni kitu kigumu sana, Rage kuiingiza team kwenye siasa za CCM na isitoshe akiongozwa na m p u m b a v u Mwigulu nimesikitika sana, Nimehamia Azam full.
 
kutokana na kitendo cha club ya simba kukubali kutumika kwa malengo na madhumuni ya kisiasa walipokodiwa na mwigulu nchemba ili kuwahadaa wananchi wa kiomboi Iramba ili wasiende kutoa maoni ya katiba yao kwenye mabaraza ya chadema,

MIMI JOGI, NIKIWA NA AKILI TIMAMU, SIJASHAWISHIWA NA MTU NATANGAZA KUHAMIA IGEMBENSABO YA SHINYANGA.

potelea mbali, liwalo na liwe.


jiorodhesheni mnaoniunga mkono.


Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini sijapenda kabisa kitendo hiki. Baada ya dhana za ukabila, ukanda na udini kushindwa sasa wameingia kwenye michezo!! Hii si dalili njema hata kidogo ndugu zangu.
 
Mkiambiwa simba ni timu ya wanawake na Mwingulu Nchemba anatoshewa mnabisha..! Haya sasa kazi kwenu
 
Ndugu zanguni kunahatari kubwa sana huko mbeleni kama upumb..avu wa kisiasa tukauingiza katika mambo yanayotuweka pamoja na kusahau tofauti zetu za kiitikadi kama mchezo wa soka. Leo Simba ijitanabahishe kama timu ya CCM Kesho Yanga wawe CHADEMA keshokutwa Azam wao CUF na n.k je pale shamba la mchina tutaona soka au pipo'z pawa na yelayela? Tukumbuke kule Misri maafa yalitokea kutokana na upuuzi kama huu wa nchemba
 
Mnajidanganya,nye si wapenzi wa simba ila mamluki tu

Hao ni mashabiki wa CHADEMA na wanahasira ya mkutano wao kudoda, ila wamesahau kuwa Simba ni timu ya mpira wa miguu na walienda kucheza mpira wala sio siasa.
 
Mimi tangu msomari awe mwenyekiti wa simba nadhani tulipishania mlangoni,yeye anaingia nami natoka nje sikai nao magamba.Namshangaa mh Zitto anafanyaje kazi na Rage pale Simba?
 
Simba imefanya ushenzi wa kutosha kushabikia siasa chafu za mwigulu nchemba wakati timu ina mashabiki wa vyama vingi na wasio na vyama. Halafu mualiko huu wa Simba ulionyesha wazi kuwa ilikuwa ni mbinu chafu ya mwigulu kudhoofisha mkutano wa CHADEMA wenye lengo la kuelimisha wananchi juu ya rasimu katiba mpya kwa sababu tu inatolewa na chama cha upinzani. Binafsi Simba imenichefua, imenichefua na tena imenichefua na tena siitaki hata kuisikia.
 
Simba wameaibisha sana......ntaichukia sana....nataka ifugwe na ipote km wanavyopotea wasani wa ccm km mallow na nakaya....na itapotea tu CCM ina laana ukijihusisha nayo unajitia NUKSI
 
Back
Top Bottom