Hao ni mashabiki wa CHADEMA na wanahasira ya mkutano wao kudoda, ila wamesahau kuwa Simba ni timu ya mpira wa miguu na walienda kucheza mpira wala sio siasa.
kwa masikio yangu nimemsikia kocha wa simba akimnadi mchemba eti ni jembe
Hao ni mashabiki wa CHADEMA na wanahasira ya mkutano wao kudoda, ila wamesahau kuwa Simba ni timu ya mpira wa miguu na walienda kucheza mpira wala sio siasa.
Tatizo pia liko kwa mwenyekiti wa simba Msomali Rage nae ni Gamba wanaitumia simu kisiasa.
Mpeni basi like mwanzisha maada wajameni! Ihhhhhh!
kutokana na kitendo cha club ya simba kukubali kutumika kwa malengo na madhumuni ya kisiasa walipokodiwa na mwigulu nchemba ili kuwahadaa wananchi wa kiomboi Iramba ili wasiende kutoa maoni ya katiba yao kwenye mabaraza ya chadema,
MIMI JOGI, NIKIWA NA AKILI TIMAMU, SIJASHAWISHIWA NA MTU NATANGAZA KUHAMIA IGEMBENSABO YA SHINYANGA.
potelea mbali, liwalo na liwe.
jiorodhesheni mnaoniunga mkono.
Inasikitisha, Rage ni janga kwa Simba.Kwanza Mwigulu wenyewe alikokwenda kujipendekeza ni YANGA damu...
Wakuu nimeudhika sana leo nimewaza mara mbilimbili akili ya Nchemba huwa anaiset vipi..Kupeleka club kubwa kama simba kwenye ligi za mchangani kisa eti chuki za kisiasa ni upuuzi uliokithiri na mbaya zaidi kuzuia mustakabali wa taifa kwa miaka mingi ijayo..Nimejitoa simba na sina hamu nayo..just imagine now simba ikifungwa nitashangilia!! Chuki alizonijengea Nchemba jana ni za karne! Na hili ni pogo kwa club za Tanzania kutumiwa katika chuki za kisiasa!! I hate you Simba mother f...k

Simba sitoki ila gamba lage nitahakikisha anang'okaah
ayyyyaaaa!
ina maana mwigulu anajiandalia makao sio!!!!
manake soon akishapotea kwenye ramani ya siasa aibukie yanga, ajinadi kuwa ndiye aliyeiua simbaaaaaaaa!!!!
kazi kwenu wapenzi wa simba,