Napinga kwa michezo kuingizwa kwenye siasa

Napinga kwa michezo kuingizwa kwenye siasa

Ilikuwaje mpaka Simba wakamchagua Rage kuwa Mwenyekiti wao, I really don't know.

Juzi Klabu ya Simba imejishusha hadhi sana kutumika kisiasa.
 
Mpira ni urafiki.
Ila ninachokiona hapa kwa wachangiaji ni usiasa zaidi.Ingekua ni inshu ya kujadili siasa mpirani ningechangia kwa kirefu,ila kwasababu mnajadili chuki za kisiasa baina ya CHADEMA na CCM naishia hapa.Ila kumbukeni kwamba mh Zitto Kabwe ni mjumbe ndani ya club ya Simba.
 
Zitto kuwa mjumbe ndani ya club ya simba si kitu cha ajabu.Tatizo lilopo simba ni bwana Rage kwa kuiongoza club kisiasa.
 
Masuke ukiliangalia swala hili namna lilivyopangiliwa hakika ilipangwa mkutano wa chadema/katiba ukose watu kwanini kwanza ulipangwa ufunguzi wa za vijiji vyote sikumbuki idadi yake mfano vijiji 100 zidi sha mara 22 kila timu unapata 2200 hao ni wachezaji tu bado viongozi wa timu husika halafu ujumlishe na uwepo wa timu kama simba ambayo sikumbuki kama ilisha wahi kucheza kijijini hapo halafu kiingilio bure nini unategemea? swala hapa ni je simba walijua kilichokuwa kinaendelea? je ratiba ya simba ilikuwaje...kingine cha kuzingatia mechi ya simba ni saa 11.00 jioni..na mkutano wa chadema ulikuwa saa nane na watu walijitokeza kwa wingi tu kinachoendelea ni siasa tu....
Mkuu angalau wewe umekuja na sober mind na umejaribu kuelezea tofauti na wanaokuja na chuki zao dhidi ya Mwigulu na kubakia kusema hawaishabikia Simba tena na wengi wao hawajawahi kuonekana kwenye jukwaa hili nina wasiwasi kama huwa wanaenda uwanjani kweli, kama ni mshabiki wa kweli wa Simba huwezi kuacha kuishabikia eti kwa sababu imecheza sehemu ambayo kulikuwa na mkutano wa Chadema.
 
Mpira ni urafiki.
Ila ninachokiona hapa kwa wachangiaji ni usiasa zaidi.Ingekua ni inshu ya kujadili siasa mpirani ningechangia kwa kirefu,ila kwasababu mnajadili chuki za kisiasa baina ya CHADEMA na CCM naishia hapa.Ila kumbukeni kwamba mh Zitto Kabwe ni mjumbe ndani ya club ya Simba.
Mkuu sio chuki za Chadema na CCM bali ni chuki dhidi ya Mwigulu, maadam ingekuwa haya yamefanyika kwenye jimbo lingine pengine hasira zisingekuwa tense namna hii.
 
Mie nimependa pale simba mnyama wa msimbazi alipopambanishwa na kombaini ya vijiji kadhaa tena vya kina mwigulu nchemba ....rage bonge la strategic planner.
 
Simba wakiendelea na mwendo huu.. wajiandae kukosa wadhamini..
 
Nilichogundua hapa ni kwamba wachangiaji wote wa hu uzi si wanamichezo,bali ni wanasiasa wasiojua maana ya michezo,bali ni ambao wanachuki na Mwigulu.Wanamichezo walioko hapa ni wachache sana.
Simba ilikuwepo ata kabla Rage na Mwigulu hawajazaliwa,na wataiacha.
Cc Masuke Makoye Matale mwangalingimungu Nyenyere Likwanda

Michezo ibaki kuwa michezo mbali na siasa, 100% agreed.
 
Last edited by a moderator:
Nilichogundua hapa ni kwamba wachangiaji wote wa hu uzi si wanamichezo,bali ni wanasiasa wasiojua maana ya michezo,bali ni ambao wanachuki na Mwigulu.Wanamichezo walioko hapa ni wachache sana.
Simba ilikuwepo ata kabla Rage na Mwigulu hawajazaliwa,na wataiacha.
Cc Masuke Makoye Matale mwangalingimungu Nyenyere Likwanda

Ni wanasiasa wasiojua maana ya michezo, ni wanamichezo wasiojua maana ya siasa, ni wanasiasa wasiojua maana ya siasa, ni wanamichezo wasiojua maana ya michezo, au ni washabiki wasiojua maana ya ushabiki?
 
Back
Top Bottom