Napinga kwa michezo kuingizwa kwenye siasa

Napinga kwa michezo kuingizwa kwenye siasa

Natafuta fuso ya kukodi, siku wakikutana na yanga najua bakora zitahitajika msimbazi, nipige bingo kimwishomwisho manake ndo inakufa mvuto na mwigulu.
 
kutokana na kitendo cha club ya simba kukubali kutumika kwa malengo na madhumuni ya kisiasa walipokodiwa na mwigulu nchemba ili kuwahadaa wananchi wa kiomboi Iramba ili wasiende kutoa maoni ya katiba yao kwenye mabaraza ya chadema,

MIMI JOGI, NIKIWA NA AKILI TIMAMU, SIJASHAWISHIWA NA MTU NATANGAZA KUHAMIA IGEMBENSABO YA SHINYANGA.

potelea mbali, liwalo na liwe.


jiorodhesheni mnaoniunga mkono.
Usihame Mkuu, kumbuka Yanga ndiyo huwa tunahusishwa na CCM na huyo ndugu aliyewaalika bungeni huwa anachezea Yanga nadhani sisi wana Yanga tunapaswa kumuona masaliti mkubwa kwa kuwaalika na kuwalipa watani zetu na sitegemei kumuona tena timu ya yanga ya bunge. Inawezekana ni katika juhudi zake dhidi ya upinzani kuwa Simba ni wapinzani wao pia, acha tutaona ingawa kwa Tanzania ya sasa wale watu walienda tu kuwashangaa Simba na siyo kuwa wanamuunga mkono. Simba nawaomba muachane na kutumika kisiasa, Mwenyekiti kuwa CCM si kwamba wanachaama wenu wote ni CCM, Klabu kujiingiza katika siasa ni sawa na adhehebu kutangaza kuunga chama cha siasa wakati waamini/waumini wake wote si wa chama hicho. Ila hapo ndipo tulipofikia Tanzania, Siasa hovyo, madawa ya kulevya yanapamba moto, ujambazi moto, mauaji moto, hovyo hovyo!
 
Mkuu, kwa wanasiasa, yote yanawezekana.Huwa hakuna kinachoshindikana kwao.Kama wanaweza kuahidi kuigeuza Kigoma kuwa Dubai ya Afrika ndani ya miaka miwili tu iliyosalia kabla ya 2015, hilo tu la kuibukia Yanga litashindikanaje?

Nalo halitakuwa na nia njema, itakuwa ni kuifagilia njia Azam kuwa klabu kubwa zaidi nchini, maana akihamia yanga nayo itakufa.

Si mnaona anavyoinyonga ccm
 
Hao ni mashabiki wa CHADEMA na wanahasira ya mkutano wao kudoda, ila wamesahau kuwa Simba ni timu ya mpira wa miguu na walienda kucheza mpira wala sio siasa.
hata mi ni chadema ila siwalaumu simba,ni matukio mangapi yanakutana na mechi za mpira,wao wanachukulia michezo kama siasa,mara ngapi uwanja wa taifa mechi za simba na yanga zinakwepo na upande mwingine kuna mikutano ya kisiasa
 
Huyu Mwigulu amenifanya nikaichukia timu ambayo ilikuwa ikifungwa naumia na wakati mwingine ilikuwa ikifungwa na Yanga nalia mfano ilipopigwa 3-0 pale kirumba mwaka 2003 nadhani..Siku hiyo nililia na nakumbuka ilikuwa Pasaka..Na huyu Julio naye sijui walimuibua wapi kazi porojo tu!! Wakuu mkitaka kujua namna ambavyo Nchemba ameishushia hadhi timu ya Simba subirini wakutane na Yanga..Huu ni upuuzi kabisa timu kuwa part ya chuki za kisiasa..Simba ilikuwa ikituunganisha na kusahau tofauti zetu..ptuuu
 
kutokana na kitendo cha club ya simba kukubali kutumika kwa malengo na madhumuni ya kisiasa walipokodiwa na mwigulu nchemba ili kuwahadaa wananchi wa kiomboi Iramba ili wasiende kutoa maoni ya katiba yao kwenye mabaraza ya chadema,

MIMI JOGI, NIKIWA NA AKILI TIMAMU, SIJASHAWISHIWA NA MTU NATANGAZA KUHAMIA IGEMBENSABO YA SHINYANGA.

potelea mbali, liwalo na liwe.


jiorodhesheni mnaoniunga mkono.

Hata mimi ninakuunga mkono lakini kumbuka mwenyekiti wa timu hiyo ni miongoni wa wahamiaji haramu anayetakiwa kurudishwa kwao Somalia.Hapa kala kavimbiwa mwisho wake ni nini?Kutuletea ya Mogadishu.Hiviii!huyu Jamhuri naye anashadia upumbavu?Njaa hii bwana majanga!
 
Usihame Mkuu, kumbuka Yanga ndiyo huwa tunahusishwa na CCM na huyo ndugu aliyewaalika bungeni huwa anachezea Yanga nadhani sisi wana Yanga tunapaswa kumuona masaliti mkubwa kwa kuwaalika na kuwalipa watani zetu na sitegemei kumuona tena timu ya yanga ya bunge. Inawezekana ni katika juhudi zake dhidi ya upinzani kuwa Simba ni wapinzani wao pia, acha tutaona ingawa kwa Tanzania ya sasa wale watu walienda tu kuwashangaa Simba na siyo kuwa wanamuunga mkono. Simba nawaomba muachane na kutumika kisiasa, Mwenyekiti kuwa CCM si kwamba wanachaama wenu wote ni CCM, Klabu kujiingiza katika siasa ni sawa na adhehebu kutangaza kuunga chama cha siasa wakati waamini/waumini wake wote si wa chama hicho. Ila hapo ndipo tulipofikia Tanzania, Siasa hovyo, madawa ya kulevya yanapamba moto, ujambazi moto, mauaji moto, hovyo hovyo!

Nia yake aiue simba kama anavyokusudia na kdhamiria kuiua ccm kisha aje yanga kwa gia ya kujisifu kuiua simba, nanyi wanayanga hamtaiona historia yake ya kukiua ccm, mtafurahishwa na "mauaji" ya mnyama kuwa amefutika kwenye historia ya ushindani wa soka ghafla kipande cha kamba alichobakisha kwa ajili ya kujinyongea, atakitumia kuinin'ginizia yanga, yeye atajinyongea ile skafu anayoning'inizaga shingoni.

kwenye msiba wake jk atamsifia sana kuwa marehemu mwigulu alikuwa mzalendo sana kwa taifa lake manake hata kamba aliyotumia kujinyongea ni bendera ya taifa.

wakati huo hatutakuwa na ccm, simba, yanga na mwigulu mwenyewe.

mungu aepushie mbali, lakini sio kama nitakvyo mimi na wewe bali mapenzi yake YATIMIE. kama kufa na . . . . . .
 
Hata mimi ninakuunga mkono lakini kumbuka mwenyekiti wa timu hiyo ni miongoni wa wahamiaji haramu anayetakiwa kurudishwa kwao Somalia.Hapa kala kavimbiwa mwisho wake ni nini?Kutuletea ya Mogadishu.Hiviii!huyu Jamhuri naye anashadia upumbavu?Njaa hii bwana majanga!


Hivi Yanga si inaongozwa na Mwane Kikwete, na Azam kina Bakheresa si ndio wachangiaji wakubwa wa CCM. Duh kube CCM inatawala michezo kila upande.
 
Hii nchi siasa kila mahali...Ona sasa siasa mpaka kwenye michezo....Aibu iliyoje kwa timu kubwa kama ya Simba kwenda kucheza na timu ya kijiji kisa imetumika kisiasa.......Shame upon you Rage na nyinyi wachezaji wa Simba mliokubali kutumiwa kisasa na Mwigulu........Ndio maana hata kwenye mashindano ya Olympics viongozi ndo wametangulia badala ya wachezaji(siasa hii) matokeo yake ni aibu kwa Taifa.....Na Simba mwaka huu lazima mle chali....Mimi ni mshabiki wa Simba lakini kwa hili Simba sioneo aibu hata kidogo....Hakika mmechemsha...
 
Naungana na mleta mada,naomba wanachama wa Simba tumpinge Rage kwa nguvu zote. Hii ni dhalau kubwa kwa timu yetu. Rage should pay for this.
Michezo Tanzania tuko nyuma sana, sasa tuingiza siasa si ndo basi tena?
 
Naungana na mtoa mada.... Silipi tena kiingilio kwa ajili ya mechi yoyote dhidi ya Simba.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Tafakari kwanza Simba siyo ya wasomali.Kwanza tumuondoe Rage.mambo mengine yatafuata.hata hivyo si tunajua Simba ni ya WEapenda mabadiliko?Hakuna kijani pale!
 
hongera mod
au kichwa cha habari kimeiponza thread yangu hadi kuiunganisha na hii iso mashiko?
 
Back
Top Bottom