Mzeee mitimbanga
Member
- Feb 14, 2021
- 6
- 2
Ndugu wana jf,
Napenda kutoa pendekezo kwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan na kwa Makamu wa Raisi Dr. Mpango pia na kwa Waziri wa Elimu Mama Ndalichako mtukumbuke Watanzania kutoka Kigoma kutujengea chuo kikuu maana tanguu uhuru mpaka sasa hatuna chuo kikuu hivyo napenda kukumbusha tuu hiyo ilikuwa moja ya ahadi za raisi wa sasa mama samia kwa wananchii wa kigoma.
Asenteni.
Imeandikwa na Abubakari Moshi Lupande