Napendekeza Vyuo Vikuu vijengwe mkoa wa Kigoma

Feb 14, 2021
6
2
Ndugu wana jf,

Napenda kutoa pendekezo kwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan na kwa Makamu wa Raisi Dr. Mpango pia na kwa Waziri wa Elimu Mama Ndalichako mtukumbuke Watanzania kutoka Kigoma kutujengea chuo kikuu maana tanguu uhuru mpaka sasa hatuna chuo kikuu hivyo napenda kukumbusha tuu hiyo ilikuwa moja ya ahadi za raisi wa sasa mama samia kwa wananchii wa kigoma.
Asenteni.

Imeandikwa na Abubakari Moshi Lupande
 
Mkuu mbona kuna chuo cha ualim kasulu then kuna chuo cha uhasibu hapa kigoma mjini jengo la red cross wanajiita Tanzania institute of accountancy au unamaanisha chuo gani.
 
changamoto ya huku kigoma watu sio wasomaji hakuna mwamko wa elim kabisa
 
Mbona miko mingi tu bado haina vyuo vikuu?

Mfano: Shinyanga, Singida, Kagera, Rukwa, Lindi na Mtwara; na yote hii ni mikoa kongwe kama ilivyo Kigoma
 
Mbona miko mingi tu bado haina vyuo vikuu?
Mfano: Shinyanga, Singida, Kagera, Rukwa, Lindi na Mtwara; na yote hii ni mikoa kongwe kama ilivyo Kigoma
SIngida kuna chuo cha utumishi wa umma na Tanzania institute of accountancy na open university pia
 
SIngida kuna chuo cha utumishi wa umma na Tanzania institute of accountancy na open university pia
Hivyo vyote isipokuwa tu chuo huria, si vyuo vikuu ni sawa tu na Kasulu Teachers College, Kabanga (na kile cha kilimo jina nimesahau kama kilikamilika enzi za Kikwete)
 
Hivyo vyote isipokuwa tu chuo huria, si vyuo vikuu ni sawa tu na Kasulu Teachers College, Kabanga (na kile cha kilimo jina nimesahau kama kilikamilika enzi za Kikwete)
ila wanatoa degree mkuu au unataka kwenda kusoma masters
 
Hivyo vyote isipokuwa tu chuo huria, si vyuo vikuu ni sawa tu na Kasulu Teachers College, Kabanga (na kile cha kilimo jina nimesahau kama kilikamilika enzi za Kikwete)
ishu nyingine huwezi ku invest wakati wasomaji hamna hivyo vilivyopo wameshindwa kuvijaza ndio mana wenye vyuo wakija kufanya research wanaona wasomaji hakuna itakua hasara
 
Vyuo vikuu vilivyopangwa vijengwe Wilaya ya Chato vihamishiwe Mkoa wa Kigoma.

Screenshot_20210404-145624.jpg
 
Back
Top Bottom