Napendekeza Vyuo Vikuu vijengwe mkoa wa Kigoma

Napendekeza Vyuo Vikuu vijengwe mkoa wa Kigoma

Vyuo vikuu vilivyopangwa vijengwe Wilaya ya Chato vihamishiwe Mkoa wa Kigoma.

View attachment 1743041
[emoji23][emoji23][emoji23],Eti na bunge lijengwe hapo hapo.
 
Mkuu ni Ujenzi wa vyuo vikuu Kigima na (siyo Ujengwaji).....naweka Kiswahili sawa tu rafiki yangu.
 
Mbona miko mingi tu bado haina vyuo vikuu?
Mfano: Shinyanga, Singida, Kagera, Rukwa, Lindi na Mtwara; na yote hii ni mikoa kongwe kama ilivyo Kigoma
Mtwara Chuo kikuu kipo.
Angalia Data zako vizuri.
 
Back
Top Bottom