Napendekeza ukumbi wa 'Karimjee' ubadilishwe jina

Kwa hiyo na Mandera road, yeye yupo TZ? Je kenyata nayo..?? Mwai Kibaki nayo..??
Mkuu, pana mtu mmoja alizungumza kama wenzetu nako hubadili majina kwa kuwaenzi wanasiasa wetu. Hivi unakumbuka wafalme (tumeaminishwa tuwaite watemi) wa nchi hii walioipigania haki yetu?
 
Anyway, nadhani, kwa mtazamo wangu, kama tumefaidika kitu fulani toka kwa mtu fulani, tunatumia jina la muhusika kuiita barabara au eneo husika. SI suala la kama wao wanatumia majina ya watu wetu halafu ndo na sisi tutumie yao....

Halafu kuna hili suala la kila kitu kukiita nyerere.....
 
Kama tulivozoea kuona majini ya vitu hasa yaliyokuwa yakitumika tokea enzi ya mkoloni yakibadilishwa, mie nimeonelea ni wakati muafaka wa ukumbi huu wa 'Karimjee' nao ubadilishwe na kuita ama 'BUNGE HALL' kwa kuweka kumbukumbu nzuri ya kikao cha kwanza cha bunge letu kufanyika hapo.

Kumbuka pana majina ya mitaa kama Pugu, City Drive, Independence Avenue n.k. yamebadilishwa hivo sioni tija ya jina la Karimjee hapa.
AU unataka uitwe nyerere hall?
 
Anyway, nadhani, kwa mtazamo wangu, kama tumefaidika kitu fulani toka kwa mtu fulani, tunatumia jina la muhusika kuiita barabara au eneo husika. SI suala la kama wao wanatumia majina ya watu wetu halafu ndo na sisi tutumie yao....

Halafu kuna hili suala la kila kitu kukiita nyerere.....
Nadhani pana vitu vingine tulipewa masharti kutovibadili majina kwa hali yetu tuliyonayo.
 
Kama tulivozoea kuona majini ya vitu hasa yaliyokuwa yakitumika tokea enzi ya mkoloni yakibadilishwa, mie nimeonelea ni wakati muafaka wa ukumbi huu wa 'Karimjee' nao ubadilishwe na kuita ama 'BUNGE HALL' kwa kuweka kumbukumbu nzuri ya kikao cha kwanza cha bunge letu kufanyika hapo.

Kumbuka pana majina ya mitaa kama Pugu, City Drive, Independence Avenue n.k. yamebadilishwa hivo sioni tija ya jina la Karimjee hapa.
Waswahili katika ubora wao...
 
Hivi kwa nn wanasihasa wanajipendelea wanapenda vitu viitwe kwa majina yao? Mbona kuna wataalam wa aina mbalimbali na wafanyibiashara maarufu nk
 
Kwa mtazamo huu, kuna siku Tanzania tutaiiya Nyerere... maana kila kitu tutataka tukiite Nyerere
Kweli unenayo maana kila kitu kipya na kizuri ni NYERERE utasema aliondoa ukoloni peke yake, huo ukumbi sifikirii kama una haja ya kabadilisha jina, tukitaka tusitake hii ni nchi ya mchanganyiko wa rangi ( waafrika wana idadi kubwa ila hata hao wahindi na waarabu hatufai kuwatenga), mabaya na mazuri, kila mmoja hufanya na haihukumiwi kabila ila mtendaji kosa ....nilisema ile kauli kwa kuwachikoza baadhi ya watu
 
Back
Top Bottom