Dunyua,
Kipindi cha jaribio la kwanza la kumpindua Nyerere mbona Muingereza aliingilia kati kumnusuru Nyerere?
Kuna kujisifu na pia wananchi tuliyoyashuhudia kwa macho. Kulikuwa na makambi ya nchi ngapi hapa Tz zilizokuwa zikipigania uhuru wao? Hiyo nayo ni uongo?Sifa upewe siyo ujipe. Nimegundua tulifungiwa kwenye box kwa muda mrefu na mi FISI M, tukiwa kwenye box tuliaminishwa hayo, ya Nyerere, Nyerere, Nyerere.
Sasa ukitoka nje masikioni unasikia Nyerere, Nyerere, Nyerere. Akili ikikukaa sawa sauti zile zinapotea, ukiona husikii Nyerere, jua sasa akili iko sawa. Yani yale maluweluwe hayapo tena.
Wale walijikomboa wenyewe sio kwamba Nyerere aliwakomboa.
Nchi imekuwa ya chama kimoja muda mrefu, na stori zilikuwa hizo za ma FISI M, sasa kuna masauti mengi.
Hizo habari za Nyerere zinakosa muelekeo na support.
Tusilazimishe sifa, kama zipo zetu tutapewa, lakini tusiwalazimishe kutoa sifa kwetu, pengine hatustahili.
Ukitaka sifa za Nyerere mtafute Kabudi, mtakesha akikutajia Nyerere.
Mwenye hii kesi ameshaenda kuijibu mkuuHilo si la kustaajabisha kuhusu BBC inapokuja kwa Mwl Nyerere hata matangazo wakati wa kifo chake yalijaa kejeli na lawama, Mwl hakuwahi kuwaramba miguu hawa wajinga.
Kinachotushangaza wengi ilikuwaje wakati wa kuumwa kwake akakubali kwenda kutibiwa kwenye hospitali ya adui wake??!! Hii ilishangaza sana!!! Najaribu kupata picha Mwl kalazwa kwenye hospital Uingereza kwa mbaya wake. Mwl alijua mtizamo wa Mwingereza kwake sijui kama alikuwa naïve kudhani akiwa taabani basi mahala pa kukimbilia ingekuwa Uingereza!!!
Lakini hii yote mitazamo tu, tunasema kwa kutumia akili ya kuzaliwa tu na mtizamo wa haraka haraka. Ingawa ukweli unabaki Mwingereza hakuwahi kuwa Rafiki wa Mwl Nyerere kivileee...
Ungezitaja sio uniulize mimi, nyie ndio mnatafuta sifa.Kuna kujisifu na pia wananchi tuliyoyashuhudia kwa macho. Kulikuwa na makambi ya nchi ngapi hapa Tz zilizokuwa zikipigania uhuru wao? Hiyo nayo ni uongo?
Hahaha labda mleta uzi na nyie wapenda sifa, mimi stress zitoke wapi?!mkuu una stress sana.tulia kunywa maji mengi.
Dunyua,
Tambua, aliyempeleka London ni yule aliesaini mikataba ya madini mwaka 1999 punde tu baada ya kifo cha Baba wa Taifa
Usisahau na misaada pia hua mnaomba na kupokea kutoka kwakeHilo si la kustaajabisha kuhusu BBC inapokuja kwa Mwl Nyerere hata matangazo wakati wa kifo chake yalijaa kejeli na lawama, Mwl hakuwahi kuwaramba miguu hawa wajinga.
Kinachotushangaza wengi ilikuwaje wakati wa kuumwa kwake akakubali kwenda kutibiwa kwenye hospitali ya adui wake??!! Hii ilishangaza sana!!! Najaribu kupata picha Mwl kalazwa kwenye hospital Uingereza kwa mbaya wake. Mwl alijua mtizamo wa Mwingereza kwake sijui kama alikuwa naïve kudhani akiwa taabani basi mahala pa kukimbilia ingekuwa Uingereza!
Lakini hii yote mitazamo tu, tunasema kwa kutumia akili ya kuzaliwa tu na mtizamo wa haraka haraka. Ingawa ukweli unabaki Mwingereza hakuwahi kuwa Rafiki wa Mwl Nyerere kivileee.
Inavyoonekana mwaka 1999 kulikuwa na mkakati kabambe ulishaandaliwa, maana mzee alivyong’ata shuka tu, mwaka huo huo ilisainiwa mikataba kichaa ya madini mfululizo, hadi Lissu akawa anaipigia kelele, JPM ndio akaja kuifumuaMwenye hii kesi ameshaenda kuijibu mkuu
We unawajua wangapi kwani?Unamtetea Nyerere huyuhuyu aliyetuachia katiba hii na sheria ya kumpa authority DC ya kumweka lockdown mbunge wa upinzani?