Nakumbuka ulisema kuna watoto wa wife wawili alizaa na ex wake.😀Hizo fujo sasa
Kwanza wewe ni me/ke1:Tasa- Makaburi ya watu kama hawa hayathamiwi kabisa, ni bora wazikwe kwao ambako kaburi lake litathaminiwa na nduguze.
2:Waliozaa na wanaume wengi - Wakazikwe kwao ili watoto wote wawe wanapata fursa ya kutembelea kaburi (kufagia) pasipo kuwa na masharti yoyote,na sio watoto tu hata wanaume zao waliozaa nao watakuwa wanapata hiyo nafasi.hayo ni maoni yangu.
Kiukweli huwa hatupendi kuzikwa kwenu. Binafsi ningependa kuzikwa kwetu...nafikiria kuacha wosia.Najua unakumbuka ndio maana nimekwambia hizo fujo.
Uko sahihi 100% mkuu1:Tasa- Makaburi ya watu kama hawa hayathamiwi kabisa, ni bora wazikwe kwao ambako kaburi lake litathaminiwa na nduguze.
2:Waliozaa na wanaume wengi - Wakazikwe kwao ili watoto wote wawe wanapata fursa ya kutembelea kaburi (kufagia) pasipo kuwa na masharti yoyote,na sio watoto tu hata wanaume zao waliozaa nao watakuwa wanapata hiyo nafasi.hayo ni maoni yangu.
Sio laIma wawe wa baba tofauti.Kama una watoto kadhaa wa baba tofauti au kama huna mtoto kwa mumeo,pambania hili suala kabla hujafa ,ukifa ukazikwe kwenu.
Mwili mmoja ni uongo hakuna kitu kama hichoHebu tafakari kwa makini "kuanzia Leo mnakuwa mwili mmoja" kama kuna uwezekano badilisha huo Uzi.
Kaburi lako likithaminiwa na wewe umekufa inasaidia nini? Utajisikia vizuri huko utakapokuwepo?Ukiwa na watoto wa baba mmoja na bado unaishi na mumeo ,ukizikwa kwa mumeo ni bora zaidi kwasababu wapo watakao kuwa wanalithamini kaburi lako.
Wewe kwa majibu tu unaonekana ni ke siwezi kuwa na swali wakati jibu ninaloUnataka kuolewa au kuoa?
Kaburi lako likithaminiwa na wewe umekufa inasaidia nini? Utajisikia vizuri huko utakapokuwepo?
My wife is part of my properties.Unakuwa umetoa mahari au umeuziwa mke? Haki yako wewe ni watoto tu kama hukubahatika kuzaa naye watoto ,akazikwe kwao .