Napenda wanawake wenzangu

Napenda wanawake wenzangu

kilizi hilo ni tatizo la kisaikolojia. Pole sana. Kwa kadri unavyomuomba Mungu, endelea na uzidishe maombi. Usiende kwa mtoa pepo. HAKUNA hicho kitu. Ni akili tu imekua twisted kwa sababu ambazo ni vigumu kujadili hapa. Kumbuka, Mungu humsaidia mwenye kujitahidi kutenda kulingana na aombavyo. Hivyo, usiombe mume kisha uendelee na hao wamama. Jitenge nao kwa hali, mali na hisia.

Pili, naomba uelewe tu kuwa upendo sio hisia. Ngono ndo ina hisia. Upendo ni matendo. Ukiamua kumpenda mtu, haijalishi hisia zako kingono kumuhusu. Mtendee yaliyo mema na ndio upendo. Ingelikua ni hisia, Yesu asingesema upendo ni AMRI KUU.

Hivyo basi, upatapo mwanaume alie chaguo lako, na atakaekuonyesha upendo wa dhati, basi na wewe amua kumpenda. Down the line, utaona raha ya kutochanganya hisia-ngono/mahaba na upendo.

Pole kwa meseji ndefu.
 
Last edited by a moderator:
sasa na hao mademu unapata raha gani?????????????????????????????????????????????????????
 
kilizi hilo sio jambo la ajabu kutokea kwa Mwanamke
Unachohitaji ni Psychiatric advise tu mambo yote yatakaa sawa.
Nikute Pm Km unataka Kusaidiwa.

mtoa mada kuwa makini na pm ya mshkaji unaweza ongeza tatizo badala ya kupunguza
 
Last edited by a moderator:
Aise! Kwa nini usijikite kwenye kumuomba mungu Mara kwa Mara?
 
uje kanisani kwa mchungaji katunzi sabasaba yani wewe umetupiwa pepo ndio linakutesa nimeona kwa macho yakiwatoka watu hapa kanisani kila siku saa kumi ni ibada ukumbi wa ngorongoro ndani ta viwanja vya sabasaba maonyeshi jumapili.ibada saa 3 asubuhi tatizo hilo naamini litakwisha unaweza kuomba kuonana na mchungaji nakumueleza au ukaja kwenye maombi ukiuliza. mchungaji katunzi hapo sabasaba watakuonyesha

nyie ndo wale wale tu mchungaji mchungaji!!
 
Waombe walifungue hata leo, pia na tuzo waandae.
 
Uko sahihi kiasi fulani, lakini ni mapepo ndiyo husababisha hali hii. Shetani hufanya kazi kupitia mapepo, majini, nk

Hakuna majini mema, wanaosema kuna majini wema ni waabudu shetani

Acha kudanganya watu wewe!

Shetani, mapepo na majini n.k ndio nini!
Au hio kadhalika Ni Cdm!
 
kwan Wewe Unapata Utam?
Maana Kama Unawafanya Wenzio Wakat Ubhoo Huna
Sijui Inakuwaje
Unapata Raha Kweli Wewe?
Nataka Jibu Hapahapa
Ahsante Jigo
 
#kilizi unataka kwel msaada au upo kibiashara? Mana km unavojiita msomi nachojua mm hapo unatakiwa kutumia akili zaidi. Mwanamke ameumbiwa kusisimka akiwa na mwanaume co mwanamke mwenzio. Ss wewe umeruhusu sn akili zako kukubali kusisimka ukiwa na mwanamke mwenzio. We kataa kuwa mtumwa wa hyo hali mwenyewe, ukiwa na mwanaume tumia muda mwingi zaid kumuwaza yeye. Lkn kama ni biashara mwaya nakutakia kila la kheri
 
Nimeelewa!unatafuta lesbians wenzio kijanja!!Mhu utawapata tuu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom