Bukinabuza
Senior Member
- Jun 17, 2008
- 105
- 29
Mimi ushauri wangu mi kuwa usijaribu kushindana na maumbile yako nikweli kuna watu wanazaliwa hivyo wao huwa wanatamani watu wa jinsia moja. Hata hivyo nenda Marekani kuna hospitali moja inatubu huo ugonjwa wa kupenda wanawake wenzako. Huna haja ya kusikitika wala kuona umepungukiwa na kitu na hakuna kitu kama shetani au pepo ni maumbile tu ndivyo ulivyozaliwa.