Napenda wanawake wenzangu

Napenda wanawake wenzangu

Kuacha inawezekana kabisa ila awe karibu na wanaume kuliko wanawake
 
Hivi mwanamke ana date vipi na mwanamke mwenzake? mimi huwa sijui na inatokea vp la maombi yangu ni kuelimishwa kuhusu hilo maana silewi elewi vile maana wao ke hawana bunduki za rashasha tunazomiliki sisi
 
Bado hujapata kidume cha kukufanya utambue jinsia yako....endea ku google utapata mtu wakukupa mzigo hadi ujitambue
 
...unajini mahaba la kuvunja ndoa za watu...
 
Hao wake za watu sasa ni balaa ,Mungu aingilie kati kila kukicha majanga na vioja
 
Hapana ckupiga kura kwani kijijini kwetu mgombea wa CCM alipita bila kupingwa

Haya sawa.
Hongera sana na kila la heri.

Ombi kwako:Tunza hiyo ID yako mpya itatumika tena mwaka kesho kwenye uchaguzi mkuu...
 
Naomba ushauri:

Wengi wanadhani nimependa kuwa hivi au tunaopenda wenzetu wa jinsia moja tumetaka,La hasha!

Mimi ni mrembo sana,kuanzia sura,umbo,nina akili lakini pia nimekuzwa familia ya dini sana.Nikiwa sekondari form 2 nilitokea kumpenda sana dada mmoja yeye alikuwa Advance.Alinipenda sana pia ,ila kuliishia kukumbatiana tu.

Nikiwa Advance nilipendwa na binti mmoja,niliogopa sana maana alikuwa ananipa care kupita kiasi.Uhusiano ulifika mbali zaidi mpaka nikawa mtumwa wa mapenzi.Sikuweza kula wala kufanya chochote bila yeye.

Nilikuja kugundua alianza uhusiano mpya hivyo tukaachana soon nilipomaliza A level.Nikiwa chuo nilipata boyfriend kwa mara ya kwanza.

Nilijaribu sana kuwa nae karibu maana alinipenda sana na alinipa kila kitu.Sikuwa najisikia mapenzi hata kidogo.Wengi waliniona nina bahati maana alikuwa mzuri sana,mchapa kazi na ana akili zaidi ila tu hajatulia.Nililigundua hilo nikiwa ndani ya uhusiano.Japo kila nikimkamata anasema wanawake ndio wanamtaka ila hana time nao.Pamoja na yote kwa kweli alinipenda.

Maombi yangu kwa Mungu yalikuwa na mimi niweze kuwa in love na mwanaume.Niliomba sana na kufunga.Nilijitenga na wanawake.

Nilipomaliza chuo niligundua jamaa alikuwa bado hajatulia tukaachana japo mwenyewe mapenzi hayakuwa kihivyo.Mara nyingi nilikuwa namkumbuka my x,nilikuwa mnyonge sana.Nilijihisi kwa huyo bf mimi nilikuwa kama sex mashine.

Nilikuwa mwaminifu sana ndani ya mahusiano.Baadae tukaachana, mimi nikaamua kumdate mke wa mtu.Alinipenda mwenyewe .Sikuwahi kumwambia chochote juu yangu.Ila kila wakati aliniita mpenzi,honey darlin na kunikiss kila mara.Tulifall in love ila nilijilaumu kwa kuwa sikutamani niwe na mwanamke tena ila sasa uhusiano na wanaume ulikuwa mgumu ,napendwa ila kupenda hakukuwepo.

Nikaona nitavunja ndoa ya watu nikawa namkimbia.Nikajikuta nafall tena kwa mke wa mtu ambae alikuwa rafiki yangu.

Kila wakati aliniletea zawadi na kuniambia ananifeel sana.Tulidate kwa muda kidogo nikaanza kumkwepa maana alianza kumchukia mumewe.Akiamka break ya kwanza kwangu.Ananipeleka hoteli za kifahari.Ila pia alikuwa kanizidi sana umri.

Nilipata shida sana kujitoa kwenye penzi lake maana aliapa kuniua nikimuacha.Alinipenda kiasi cha kujitoa ufaham.Nilifanikiwa kumkwepa karibia miezi 8 hivi.Namba ya simu nikabadili.

Tangu wakati huo naendelea kupata shida maana nimekuwa heart breaker.Nikiumizwa tu na boyfriend kidogo huwa sirudi tena.

Nasali sana hii hali iniondoke lakini wapi.Naumia sana,Sijui nifanyeje.Najua ni kinyume cha jamii na pia dini.Ila mimi sipendi pia hali hii.

Mimi sio tom boy na hata mtu akiniona hawezi kudhani.Nimejikuta napendwa na wanawake wengi ,sijui kwanini pia,huwa sijawahi kumtongoza mwanamke yeyote ila wao hunianza.

Ninapokuwa na mwanamke kwenye mahusiano nasikia raha na moyo unarelax.

Nifanyeje?

Hii ni simulizi ya ukweli kutoka Masaki.

Heeeeeeeeeeeeeeee kudadadadekiiiiiiiii
 
Nakuombea Mungu wa mbinguni akufungue, amefungua wengi nikiwemo mimi hawezi kushindwa kwako. Unaamini kuwa Mungu anaweza???
Yesu anasema "njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha" yote yanayokushinda yapeleke msalabani. Hilo lako ni jambo dogo sana, usiwaze kuomba ushauri humu jamvini, waza kulipeleka msalabani, hakika utashuhudia matendo makuu.
AMEN

A very noble advice.

Lakini sasa asingeomba humu ushauri angekutanaje na ushauri wako huu mzuri?

I know a certain sister, ameshahangaika na hii kitu kwenye maombi mpaka basi, hadi kwa tb Joshua alishaenda, lakini anasema aliexperience changes for sometime then hali ile ikajirudia. Sasa sijui shida ilikuwa kwake au wapi.

Still kwa Yesu yote yanawezekana therefore press on
 
Nimeanza kuona changes kidogo!!Namshukuru Mungu.Japo saa nyingine nikitaka tu kuwaza ya nyuma nafafuta kitu kingine cha kufanya.Tangu niombe ushauri humu nimegundua kuna wanawake wengi sana wanaexperience kama mimi au wanapitia shida kama yangu na wanatamani kuwa tofauti.So kweli maombi ndio njia pekee na kuepuka mazingira yanayotufanya kurudi nyuma
 
Jf Kweli Inavituko Huyu Mtu Anarudia Threads Kwa Multiple Id Nyingine Invisible Umeliona Hili Janga La MaJunior Member
 
Last edited by a moderator:
Ukweli ni kwamba mapenzi ya jinsia Moja hasa kwa watoto wa kike ni jambo ambalo hutokea sana hasa ktk shule za bweni lkn alianzi hiv hiv huwa na chanzo na chanzo nicare iliyopitiliza watoto wakike wanawahi kuwaamini sana wale wanaowajali mmo hasa wakiwa ni jinsia moja na mwisho uanza kujiusisha na vitendo vya mapenzi kama ya mke na Mme kwa ufupi wewe sio tom boy Bali wewe ni client wa lesbians tom boy na ndio maana wewe hautongozi ila unatongozwa na ukitaka kujua nikwanin unatongozwa wewe nikwakua your facial expresses that attraction kwaufupi we ndiye mswagwaji chakufanya find a a guy ukiwa unadate NAE be open to tell him what you want that will make u have multiorgasim am sure you will lyk men na utaacha hiyo tabia jiamin

Yaani nahisi ulikuwa katika sehemu ya maisha yangu.Nimelelewa maisha ya kipekee pekee sana.Huwa naambia wa nadeka tangu niko mtoto.Naogopa matatizo na ninapenda care maana niko so delicate naumia haraka sana.Huyu binti niliyefall nae inlove kwa mara ya kwanza alikuwa ananicare sana n kubioa moyo pale ninapopata matatizo.She was exceptional sana na nadhani niliwetaza kuwa nae jwa kuwa sikuwa nimewahi kuwa na boyfriend kabla yake.She was the first person to kiss me with intimacy.I think hiyo ndio iliniaffect.Ila hawa wengine sina clear reasons kwa nn walinipenda sana japo pia walikuwa wananicare sana.However naamini nitabadilika maana ninafanya bidii sana na maombi pia
 
sasa mkiwa na wapenzi wako hao mnatumia dhana gani kuridhishana najiuliza tu wewe huwa unakuwa na nafasi ipi mwanaume au mwanamke
 
Back
Top Bottom