Napenda wanawake wenzangu

Napenda wanawake wenzangu

Dah, mi ningependa kufahamu unapokuwa na uhusiano na mwanamke mwenzio je ni wewe unaye play part ya mwanaume au ni hao wanawake unao date nao? Au huwa mnafanya nini au vitendo gani kujiridhisha kimapenzi.
 
Wewe ni sawa na wale gays ambao they tottaly look like normal men.Huna hormonal mix wala nini,na ww kuacha inakua vigumu koz no1 knows or can even.have a clue about it.Ni Mungu tu hapo na psychological advice.
Na chondechonde dnt get married kabla hujasolve hilo tatizo kwan utamtrsa huyo mme na ndoa itakuwa chungu.
 
Maombi ya mwenye dhambi nichukizo kwa Mungu okoka leo na Yesu a talitoa hilo pepo

Kama maombi ya mwenye dhambi ni chukizo, ataokokaje bila kuomba msamaha kwa toba ya kweli?
 
katika pita pita zangu nimegundua kuwa lesbians wengi huwa wanatoka familia bora.
sijui huwa ni kwa nini??
 
Nashukuru sana kwa mawazo yenu.Najisikia kutua mzigo mzito.Naombeni na nyie mniombee maana hali hii napambana nayo sana.Nimeamua kuwa na marafiki wa kiume zaidi.Sio kwamba niko single,nina boyfriend japo hatuishi pamoja tuko mikoa tafauti.Najaribu sana nisifeel boared kuwa naye maana hilo ni tatizo kubwa.Nafeel kuchoka mahusiano mapema sana.Nimamua atlst kuwa nawasiliana nae sio chini ya 3 times a day.Hata ninapokuwa sijisikii kufanya hivyo.Mniombee tafadhali na mm naomba sana.
 
Kuna aliyeniuliza elimu yangu...Nina elimu ya Masters.Nimesoma shule ya mchanganyiko O level na A level japo ni za boarding.Pia nimesoma Uingereza.Niliwahi kumuona psychologist nikiwa Uingereza ila sikufurahishwa na jibu lako maana aliniambia i have to accept what I am.Mm najua vitabu vya dini haviruhusu,pia najisikia guilty sana.Kwa hiyo tulikuwa tunapishana mitizamo
 
Naomba ushauri:

Wengi wanadhani nimependa kuwa hivi au tunaopenda wenzetu wa jinsia moja
tumetaka,La hasha!

Mimi ni mrembo sana,kuanzia sura,umbo,nina akili lakini pia nimekuzwa
familia ya dini sana.Nikiwa sekondari form 2 nilitokea kumpenda sana
dada mmoja yeye alikuwa Advance.Alinipenda sana pia ,ila kuliishia
kukumbatiana tu.

Nikiwa Advance nilipendwa na binti mmoja,niliogopa sana maana alikuwa
ananipa care kupita kiasi.Uhusiano ulifika mbali zaidi mpaka nikawa
mtumwa wa mapenzi.Sikuweza kula wala kufanya chochote bila yeye.

Nilikuja kugundua alianza uhusiano mpya hivyo tukaachana soon
nilipomaliza A level.Nikiwa chuo nilipata boyfriend kwa mara ya kwanza.

Nilijaribu sana kuwa nae karibu maana alinipenda sana na alinipa kila
kitu.Sikuwa najisikia mapenzi hata kidogo.Wengi waliniona nina bahati
maana alikuwa mzuri sana,mchapa kazi na ana akili zaidi ila tu
hajatulia.Nililigundua hilo nikiwa ndani ya uhusiano.Japo kila
nikimkamata anasema wanawake ndio wanamtaka ila hana time nao.Pamoja na
yote kwa kweli alinipenda.

Maombi yangu kwa Mungu yalikuwa na mimi niweze kuwa in love na
mwanaume.Niliomba sana na kufunga.Nilijitenga na wanawake.

Nilipomaliza chuo niligundua jamaa alikuwa bado hajatulia tukaachana
japo mwenyewe mapenzi hayakuwa kihivyo.Mara nyingi nilikuwa namkumbuka
my x,nilikuwa mnyonge sana.Nilijihisi kwa huyo bf mimi nilikuwa kama sex
mashine.

Nilikuwa mwaminifu sana ndani ya mahusiano.Baadae tukaachana, mimi
nikaamua kumdate mke wa mtu.Alinipenda mwenyewe .Sikuwahi kumwambia
chochote juu yangu.Ila kila wakati aliniita mpenzi,honey darlin na
kunikiss kila mara.Tulifall in love ila nilijilaumu kwa kuwa sikutamani
niwe na mwanamke tena ila sasa uhusiano na wanaume ulikuwa mgumu
,napendwa ila kupenda hakukuwepo.

Nikaona nitavunja ndoa ya watu nikawa namkimbia.Nikajikuta nafall tena
kwa mke wa mtu ambae alikuwa rafiki yangu.

Kila wakati aliniletea zawadi na kuniambia ananifeel sana.Tulidate kwa
muda kidogo nikaanza kumkwepa maana alianza kumchukia mumewe.Akiamka
break ya kwanza kwangu.Ananipeleka hoteli za kifahari.Ila pia alikuwa
kanizidi sana umri.

Nilipata shida sana kujitoa kwenye penzi lake maana aliapa kuniua
nikimuacha.Alinipenda kiasi cha kujitoa ufaham.Nilifanikiwa kumkwepa
karibia miezi 8 hivi.Namba ya simu nikabadili.

Tangu wakati huo naendelea kupata shida maana nimekuwa heart
breaker.Nikiumizwa tu na boyfriend kidogo huwa sirudi tena.

Nasali sana hii hali iniondoke lakini wapi.Naumia sana,Sijui
nifanyeje.Najua ni kinyume cha jamii na pia dini.Ila mimi sipendi pia
hali hii.

Mimi sio tom boy na hata mtu akiniona hawezi kudhani.Nimejikuta napendwa
na wanawake wengi ,sijui kwanini pia,huwa sijawahi kumtongoza mwanamke
yeyote ila wao hunianza.

Ninapokuwa na mwanamke kwenye mahusiano nasikia raha na moyo unarelax.

Nifanyeje?

Hii ni simulizi ya ukweli kutoka Masaki.

mmmmmm nimeogopa sana kumbeeeee hapa kuna mtu itabid nimpige stop sifa kibao utazan mwanaume??? mazoea ya huyu dada nimeanza kuyaogopa polee.
 
mmmmhhh haya mambo bwana halafu wengi wanaanzia boarding school
 
Naomba ushauri:

Wengi wanadhani nimependa kuwa hivi au tunaopenda wenzetu wa jinsia moja tumetaka,La hasha!

Mimi ni mrembo sana,kuanzia sura,umbo,nina akili lakini pia nimekuzwa familia ya dini sana.Nikiwa sekondari form 2 nilitokea kumpenda sana dada mmoja yeye alikuwa Advance.Alinipenda sana pia ,ila kuliishia kukumbatiana tu.

Nikiwa Advance nilipendwa na binti mmoja,niliogopa sana maana alikuwa ananipa care kupita kiasi.Uhusiano ulifika mbali zaidi mpaka nikawa mtumwa wa mapenzi.Sikuweza kula wala kufanya chochote bila yeye.

Nilikuja kugundua alianza uhusiano mpya hivyo tukaachana soon nilipomaliza A level.Nikiwa chuo nilipata boyfriend kwa mara ya kwanza.

Nilijaribu sana kuwa nae karibu maana alinipenda sana na alinipa kila kitu.Sikuwa najisikia mapenzi hata kidogo.Wengi waliniona nina bahati maana alikuwa mzuri sana,mchapa kazi na ana akili zaidi ila tu hajatulia.Nililigundua hilo nikiwa ndani ya uhusiano.Japo kila nikimkamata anasema wanawake ndio wanamtaka ila hana time nao.Pamoja na yote kwa kweli alinipenda.

Maombi yangu kwa Mungu yalikuwa na mimi niweze kuwa in love na mwanaume.Niliomba sana na kufunga.Nilijitenga na wanawake.

Nilipomaliza chuo niligundua jamaa alikuwa bado hajatulia tukaachana japo mwenyewe mapenzi hayakuwa kihivyo.Mara nyingi nilikuwa namkumbuka my x,nilikuwa mnyonge sana.Nilijihisi kwa huyo bf mimi nilikuwa kama sex mashine.

Nilikuwa mwaminifu sana ndani ya mahusiano.Baadae tukaachana, mimi nikaamua kumdate mke wa mtu.Alinipenda mwenyewe .Sikuwahi kumwambia chochote juu yangu.Ila kila wakati aliniita mpenzi,honey darlin na kunikiss kila mara.Tulifall in love ila nilijilaumu kwa kuwa sikutamani niwe na mwanamke tena ila sasa uhusiano na wanaume ulikuwa mgumu ,napendwa ila kupenda hakukuwepo.

Nikaona nitavunja ndoa ya watu nikawa namkimbia.Nikajikuta nafall tena kwa mke wa mtu ambae alikuwa rafiki yangu.

Kila wakati aliniletea zawadi na kuniambia ananifeel sana.Tulidate kwa muda kidogo nikaanza kumkwepa maana alianza kumchukia mumewe.Akiamka break ya kwanza kwangu.Ananipeleka hoteli za kifahari.Ila pia alikuwa kanizidi sana umri.

Nilipata shida sana kujitoa kwenye penzi lake maana aliapa kuniua nikimuacha.Alinipenda kiasi cha kujitoa ufaham.Nilifanikiwa kumkwepa karibia miezi 8 hivi.Namba ya simu nikabadili.

Tangu wakati huo naendelea kupata shida maana nimekuwa heart breaker.Nikiumizwa tu na boyfriend kidogo huwa sirudi tena.

Nasali sana hii hali iniondoke lakini wapi.Naumia sana,Sijui nifanyeje.Najua ni kinyume cha jamii na pia dini.Ila mimi sipendi pia hali hii.

Mimi sio tom boy na hata mtu akiniona hawezi kudhani.Nimejikuta napendwa na wanawake wengi ,sijui kwanini pia,huwa sijawahi kumtongoza mwanamke yeyote ila wao hunianza.

Ninapokuwa na mwanamke kwenye mahusiano nasikia raha na moyo unarelax.

Nifanyeje?

Hii ni simulizi ya ukweli kutoka Masaki.

Eeeh! polee kwa kweli ila saasa unapokuwa na mwanamke mwenzio unafanya au unnafanyiwa kama yale mwanaume amfanyiayo mwanamkee au? yaani mii ktk hili bado niko kizani i wish ningepata angalau chabo ya kuona mfanyayo my be utomaso ungenipungua..
 
Trust me dada angu suluhisho la mapenzi ni mpenzi.....as long kila kona ya mwili wako uko sawa huna tatizo hayo ya kupenda wanawake wenzio ni addiction na huwa haitoki mara ghafla u need time na ujiwekee conditions...hata ukishauriwa humu mwisho wa siku we ndio utakuwa mtekelezaji kama toka moyoni umekuwa addiicted maamuz yatategemeana na mazingira....1.badili marafiki na hobbies. 2.change general timetable weka vitu vipya na vigeni kabisa maishani(but viwe positive). 3.tafuta bf ambaye anakufahamu awe na imani na uvumilivu(a close friend preffered) but asiwe na mahusiano mengine zaid yako. 4 tafuta motives za kufanya utaman ngono na mwanaume kama kuangalia x videos,kucheza na mwanaume music,kulala na kuwa karibu na mwanaume,kushare ideas ambazo zinahusisha mahusiano ya mume na mke. 5. Fanya vyote ambavyo bf wako atataka pasipo kuweka mawazo kuwa una tatizo baada ya muda utajikuta umezoea maisha mapya.
N.B; bf huyo awe na mapenz ya dhati asiwe easy kukata tamaa kwan addiction inahitaji muda na uvumilivu kuisha,then upande wako ujue kuwa unabadili tabia moja kwenda nyingine so kuna vitu ambavyo vitamis kwenye dopamine usifuate raja unazokosa but jins utakavyokuwa unakosa aman na maisha mapya ndio tatizo linaondoka usije kata tamaa kwan itakuchukua muda mrefu....kama hujanielewa pm nikueleweshe tena,thanks nawasilisha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ukweli ni kwamba mapenzi ya jinsia Moja hasa kwa watoto wa kike ni jambo ambalo hutokea sana hasa ktk shule za bweni lkn alianzi hiv hiv huwa na chanzo na chanzo nicare iliyopitiliza watoto wakike wanawahi kuwaamini sana wale wanaowajali mmo hasa wakiwa ni jinsia moja na mwisho uanza kujiusisha na vitendo vya mapenzi kama ya mke na Mme kwa ufupi wewe sio tom boy Bali wewe ni client wa lesbians tom boy na ndio maana wewe hautongozi ila unatongozwa na ukitaka kujua nikwanin unatongozwa wewe nikwakua your facial expresses that attraction kwaufupi we ndiye mswagwaji chakufanya find a a guy ukiwa unadate NAE be open to tell him what you want that will make u have multiorgasim am sure you will lyk men na utaacha hiyo tabia jiamin
 
Kwa hiyo wewe ni Lesbian laki hutaki kuwa hivyo?
Unataka uwe straight ..

Ndio hicho unacho ombea ushauri au ?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nakuombea Mungu wa mbinguni akufungue, amefungua wengi nikiwemo mimi hawezi kushindwa kwako. Unaamini kuwa Mungu anaweza???
Yesu anasema "njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha" yote yanayokushinda yapeleke msalabani. Hilo lako ni jambo dogo sana, usiwaze kuomba ushauri humu jamvini, waza kulipeleka msalabani, hakika utashuhudia matendo makuu.
AMEN
 
Naomba ushauri:

Wengi wanadhani nimependa kuwa hivi au tunaopenda wenzetu wa jinsia moja tumetaka,La hasha!

Mimi ni mrembo sana,kuanzia sura,umbo,nina akili lakini pia nimekuzwa familia ya dini sana.Nikiwa sekondari form 2 nilitokea kumpenda sana dada mmoja yeye alikuwa Advance.Alinipenda sana pia ,ila kuliishia kukumbatiana tu.

Nikiwa Advance nilipendwa na binti mmoja,niliogopa sana maana alikuwa ananipa care kupita kiasi.Uhusiano ulifika mbali zaidi mpaka nikawa mtumwa wa mapenzi.Sikuweza kula wala kufanya chochote bila yeye.

Nilikuja kugundua alianza uhusiano mpya hivyo tukaachana soon nilipomaliza A level.Nikiwa chuo nilipata boyfriend kwa mara ya kwanza.

Nilijaribu sana kuwa nae karibu maana alinipenda sana na alinipa kila kitu.Sikuwa najisikia mapenzi hata kidogo.Wengi waliniona nina bahati maana alikuwa mzuri sana,mchapa kazi na ana akili zaidi ila tu hajatulia.Nililigundua hilo nikiwa ndani ya uhusiano.Japo kila nikimkamata anasema wanawake ndio wanamtaka ila hana time nao.Pamoja na yote kwa kweli alinipenda.

Maombi yangu kwa Mungu yalikuwa na mimi niweze kuwa in love na mwanaume.Niliomba sana na kufunga.Nilijitenga na wanawake.

Nilipomaliza chuo niligundua jamaa alikuwa bado hajatulia tukaachana japo mwenyewe mapenzi hayakuwa kihivyo.Mara nyingi nilikuwa namkumbuka my x,nilikuwa mnyonge sana.Nilijihisi kwa huyo bf mimi nilikuwa kama sex mashine.

Nilikuwa mwaminifu sana ndani ya mahusiano.Baadae tukaachana, mimi nikaamua kumdate mke wa mtu.Alinipenda mwenyewe .Sikuwahi kumwambia chochote juu yangu.Ila kila wakati aliniita mpenzi,honey darlin na kunikiss kila mara.Tulifall in love ila nilijilaumu kwa kuwa sikutamani niwe na mwanamke tena ila sasa uhusiano na wanaume ulikuwa mgumu ,napendwa ila kupenda hakukuwepo.

Nikaona nitavunja ndoa ya watu nikawa namkimbia.Nikajikuta nafall tena kwa mke wa mtu ambae alikuwa rafiki yangu.

Kila wakati aliniletea zawadi na kuniambia ananifeel sana.Tulidate kwa muda kidogo nikaanza kumkwepa maana alianza kumchukia mumewe.Akiamka break ya kwanza kwangu.Ananipeleka hoteli za kifahari.Ila pia alikuwa kanizidi sana umri.

Nilipata shida sana kujitoa kwenye penzi lake maana aliapa kuniua nikimuacha.Alinipenda kiasi cha kujitoa ufaham.Nilifanikiwa kumkwepa karibia miezi 8 hivi.Namba ya simu nikabadili.

Tangu wakati huo naendelea kupata shida maana nimekuwa heart breaker.Nikiumizwa tu na boyfriend kidogo huwa sirudi tena.

Nasali sana hii hali iniondoke lakini wapi.Naumia sana,Sijui nifanyeje.Najua ni kinyume cha jamii na pia dini.Ila mimi sipendi pia hali hii.

Mimi sio tom boy na hata mtu akiniona hawezi kudhani.Nimejikuta napendwa na wanawake wengi ,sijui kwanini pia,huwa sijawahi kumtongoza mwanamke yeyote ila wao hunianza.

Ninapokuwa na mwanamke kwenye mahusiano nasikia raha na moyo unarelax.

Nifanyeje?

Hii ni simulizi ya ukweli kutoka Masaki.

upungufu wa akili
 
Sister za saa hizi? Nimesoma simulizi lako na limenigusa, naomba unipe nafasi ya kuwa na wewe nitajitahidi kukufanya ufurahie maisha ya kuwa na mwanaume, na hata ikishindikana nitakupa support ya kutafuta njia mbadala.Pole xana kwa waliokutukana/ kebehi etc. Naamini utanijibu. Good morning.
 
Back
Top Bottom