Nilishakwambia wee mtusi umetumwa kazi maalum hapa tz ukagoma, unaona hapo penye red.Utaondoka ww mie nipogo
Wakuu heshima yenu
Hii kitu imenitokea sana mara nyingi
Napenda kudate na wanaume maarufu tu na pindi nikiwa ktk mahusiano na mwanaume maarufu najickia nipo salama sana hata kama hanisaidii chchte nainjoy mbaya kuliko nikiwa na mtu aso na jina hapa town
Tatz nikiwa na mtu hata kama ananijali na anasifa zote lkn hana jina nakuwa mnyonge simfurahii
Nawezaje kuondokana na hili tatizo
Hahahaahah vipi mkuu mbna unaweweseka??inahuu
hahaha napita
Wakuu heshima yenu
Hii kitu imenitokea sana mara nyingi
Napenda kudate na wanaume maarufu tu na pindi nikiwa ktk mahusiano na mwanaume maarufu najickia nipo salama sana hata kama hanisaidii chchte nainjoy mbaya kuliko nikiwa na mtu aso na jina hapa town
Tatz nikiwa na mtu hata kama ananijali na anasifa zote lkn hana jina nakuwa mnyonge simfurahii
Nawezaje kuondokana na hili tatizo
Ni kubwa mnoo au n imelegea kama mnyororolabda hali ya dushe kugoma kupita
mie nimeacha kupenda penda now days nakula ujana tuu
mie nimeacha kupenda penda now days nakula ujana tuu
ujana ndio umri gani huo...isije kuwa ulisahau kula ujana sasa ndio unakumbuka kumekuchwa