...what if akiwa anachangamsha genge!! Kuamini kila kinacholetwa huku ni hataree...
Mtu huwa anaigiza more than 50% ya maisha yake halisi nadhani hii niliisoma sehemu
...what if akiwa anachangamsha genge!! Kuamini kila kinacholetwa huku ni hataree...
Hali ya nini? kwani hao maarufu sio wanaume?
ha ha ha, stress za mananii unazijua?
Mkuu nisaidie wameishakupitia wangapi? nafanya research ya kwa nini taifa hili lina viongozi maarufu lkn halisongi mbele.Wakuu heshima yenu
Hii kitu imenitokea sana mara nyingi
Napenda kudate na wanaume maarufu tu na pindi nikiwa ktk mahusiano na mwanaume maarufu najickia nipo salama sana hata kama hanisaidii chchte nainjoy mbaya kuliko nikiwa na mtu aso na jina hapa town
Tatz nikiwa na mtu hata kama ananijali na anasifa zote lkn hana jina nakuwa mnyonge simfurahii
Nawezaje kuondokana na hili tatizo