Nawezaje kuondokana na hyo hali
Wakuu heshima yenu
Hii kitu imenitokea sana mara nyingi
Napenda kudate na wanaume maarufu tu na pindi nikiwa ktk mahusiano na mwanaume maarufu najickia nipo salama sana hata kama hanisaidii chchte nainjoy mbaya kuliko nikiwa na mtu aso na jina hapa town
Tatz nikiwa na mtu hata kama ananijali na anasifa zote lkn hana jina nakuwa mnyonge simfurahii
Nawezaje kuondokana na hili tatizo

Hawa sihitaji hata na pesa juu
Siku ukijitambua unaweza toa machozi,
nina hofu it will be late!
Kama yy maarufu nkiona picha yke ntaprov