Napenda wanaume maarufu

Napenda wanaume maarufu

Wakuu heshima yenu

Hii kitu imenitokea sana mara nyingi,
Napenda kudate na wanaume maarufu tu na pindi nikiwa katika mahusiano na mwanaume maarufu najisikia nipo salama sana hata kama hanisaidii chochote nainjoy mbaya kuliko nikiwa na mtu aso na jina hapa town
Tatizo nikiwa na mtu hata kama ananijali na anasifa zote lakini hana jina nakuwa mnyonge simfurahii
Nawezaje kuondokana na hili tatizo.

Kamwone psychiatrist kwani una matatizo ya kiakili. Haiwezekani mtu ukawa na mawazo kama yako then ukawa normal.....lazima utakuwa na hitilafu fulani kichwani.
 
Wakuu heshima yenu

Hii kitu imenitokea sana mara nyingi,
Napenda kudate na wanaume maarufu tu na pindi nikiwa katika mahusiano na mwanaume maarufu najisikia nipo salama sana hata kama hanisaidii chochote nainjoy mbaya kuliko nikiwa na mtu aso na jina hapa town
Tatizo nikiwa na mtu hata kama ananijali na anasifa zote lakini hana jina nakuwa mnyonge simfurahii
Nawezaje kuondokana na hili tatizo.

suluhisho unalo wewe mwenyewe.Anza ku-date na wanafunzi then utaona changes taratibu....
 
Wakuu heshima yenu

Hii kitu imenitokea sana mara nyingi,
Napenda kudate na wanaume maarufu tu na pindi nikiwa katika mahusiano na mwanaume maarufu najisikia nipo salama sana hata kama hanisaidii chochote nainjoy mbaya kuliko nikiwa na mtu aso na jina hapa town
Tatizo nikiwa na mtu hata kama ananijali na anasifa zote lakini hana jina nakuwa mnyonge simfurahii
Nawezaje kuondokana na hili tatizo.

Endelea tu hvyo hvyo utapa majibu yako
 
Back
Top Bottom