Napenda wanaume maarufu

Wapo macelebrity wa jf-mmu, vipi hao huwataki??
 

Dawa ya kuondoa tatizo nilo ni kuendelea kuwa na watu hao maarufu
 

Siku ukijitambua unaweza toa machozi,
nina hofu it will be late!
 
Ulishawahi date na mwanaume gani maarufu...???
Vipi mh.comber???
 
Maarufu wa aina gani maana hata Masud Sura mbaya ni maarufu.
 
ili uweze kuondokana na tatzo Lako
inabidi ufuate maelezo haya machache.


CHUKUA JIVU KIKOMBE KIMOJA CHA CHAI' PILIPILI KICHAA YA UNGA VIKOMBE 2. MAJI KIKOMBE KIMOJA .

CHANGANYA PAMOJA KWENYE KIFAA CHENYE UWEZO WA KUHIFADHI MCHANGANYO WAKO KWA MUDA MLEFU.

KISHA UTAKUWA UNAJIPAKA MARA TATU KWA SIKU NDANI YA SIKU SABA.

NB: BAADA YA MATUMUZI RUDISHA MREJESHO HAPA.
 
Natamani nijue umaarufu kwako unamaanisha nini? Mifano ingenisaidia zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…