Napenda viporo lakini sio vilivyochacha

Napenda viporo lakini sio vilivyochacha

Kingine hiki hapa [emoji116][emoji116][emoji116]
 
Napenda viporo lakini sio vilivyochacha... Hata kama nimekula Zhong Tong kumi.. Hiyo ni siri yangu na wahusika... SIPO KWENYE LIGI KWAMBA NITAPATA KOMBE... Nafanya kwa raha zangu.... Wala sifanyi kukomoa au kuonesha urijali wangu...!!!

Jr[emoji769]
 
29854936-fungi-in-rotten-rice.jpeg

Jr[emoji769]
 
JamiiForums inachukuliwa ya kipekee kutokana na slogan yake... A home of great thinkers... Kwahiyo wengi huzuzuka na kudhani kwamba walioko JF ni watu very distinguished. Wasioonekana wala kupatikana mitaani... Hili limechagizwa na uhuru wa kutumia utambulisho bandia
 
Sabar kher mkuu,Mshana jr
Heri ya Mwaka mpya. Wiki iliyopita mitaa ya Posta Mpya nakupungia mkono wala hunioni!?.
Nashangaa mbona sikuoni mtaani kwetu Ubungo, Kibo Msewe.
Nashukuru kukuona angalau .
 
Naludia tena aliyegundua kiporo cha wali maharage na chai ya rangi Mungu ambariki huko alipo

Picha nimeshindwa kuweka maana nimekumbuka uzi huu baada ya kumaliza kula😅
 
Sabar kher mkuu,Mshana jr
Heri ya Mwaka mpya. Wiki iliyopita mitaa ya Posta Mpya nakupungia mkono wala hunioni!?.
Nashangaa mbona sikuoni mtaani kwetu Ubungo, Kibo Msewe.
Nashukuru kukuona angalau .
[emoji3][emoji3][emoji1536][emoji1534][emoji1548][emoji1545][emoji1545]
 
Naludia tena aliyegundua kiporo cha wali maharage na chai ya rangi Mungu ambariki huko alipo

Picha nimeshindwa kuweka maana nimekumbuka uzi huu baada ya kumaliza kula[emoji28]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hii ni mada ya kukumbushana mambo kadhaa....!!!
Wote tunafahamu kiporo... Kwa jina lingine ndasa... Kiporo ni chakula kilichobakishwa baada ya kuliwa... Mara nyingi usiku.. Kiporo kina ladha yake na utamu wake lakini Kamwe huwezi kukilinganisha na chakula fresh...
Kiporo kina hatari zake... Kisipohifadhiwa vizuri huchacha ama huharibika... Kuna madhara ya kula kiporo cha namna hii.. Ni sawa na bata anapenda sana maji lakini sio ya moto. Yana madhara yake haya... Yanaunguza....

JamiiForums inachukuliwa ya kipekee kutokana na slogan yake... A home of great thinkers... Kwahiyo wengi huzuzuka na kudhani kwamba walioko JF ni watu very distinguished. Wasioonekana wala kupatikana mitaani... Hili limechagizwa na uhuru wa kutumia utambulisho bandia...

Nimebahatika kukutana na wana JF wengi sana... Kama mia moja na ushee... Japo wao walinishangaa ( baadhi yao ) lakini mimi sikuwa na taharuki kivile... Wana JF ni SEHEMU ya JAMII inayotuzunguka.. Ni kaka zetu, baba zetu wadogo zetu dada zetu mama zetu marafiki na wafanyakazi wenzetu bila kusahaua mababu mabibi na wapenzi pia

Kutongoza na kutongozwa ni jambo la kawaida na watu ni wale wale... Wana JF hawana tofauti hawatoki mwezini.. Ni watu wa kawaida kabisa... Wenye hisia na mapungufu kama wengine mtaani... Wenye mazuri na mabaya wenye upendo huruma lakini pia wenye roho mbaya na tabia mbaya pia....

Kutongozana ni kule kule.. Kulana ni kule kule.. Tabia ni zile zile.. Kama umeuvaa mkenge ni ajali kazini... JF sio ya waseja wala malaika wala mabikira.. Wote tunapashana viporo... Sidhani kama tuna fresh... Ooh zipo fresh... Zipo baadhi.... Kwahiyo kama ukila kilichochacha usitafute mengine.... Huwezi kufuga nge utegemeee atotoe njiwa...

Kwenda peku hakumaanishi umeambukizwa.. Umeambukiza
Kwenda peku haimaanishi uje utangaze hapa
Tuna watoto bado hapa huwa wanajivunia kuwalala wanawake kadhaa... Ni ushamba na ulimbukeni...!!! NGONO NIA SANAA... NGONO sio kuvua chupi na kukojoa tuu.

Napenda viporo lakini sio vilivyochacha... Hata kama nimekula Zhong Tong kumi.. Hiyo ni siri yangu na wahusika... SIPO KWENYE LIGI KWAMBA NITAPATA KOMBE... Nafanya kwa raha zangu.... Wala sifanyi kukomoa au kuonesha urijali wangu...!!!
Mshana kama mshana[emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom