Napenda viporo lakini sio vilivyochacha

Napenda viporo lakini sio vilivyochacha

wanapiga akapera bila beats. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Du wiki hii kuna mambo mazito kwelikweli.Watu wanaitana baby mi huwa nadhani jokes.kumbe wanakulana kweli tena wanapiga akapera bila beats.siku nyingine muwe mna sema mko selious tuteseke pamoja.poleni kwa wale walio kwenye msongo wa mawazo.lakini ngoma sio rahisi kama mawazo ulikoyapeleke its better kachek vipimo maisha yanaendelea
 
Mshana Jr, Utoto mwingi sana! Ndiyo unasababisha haya mambo!

Unajua iko hivi; unapokuwa umeonana na member mwenzako mkafanikiwa kuwa wapenzi. Hata kama tunatumia IDs fake, ukianzisha thread tu kumhusu, lazima atajua tu na hatajisikia vizuri wala amani moyoni!

Wanaume siku za nyuma tulisifika kwa kutunza siri lakini siku hizi Wanaume tunapungua.
 
Wanaume siku za nyuma tulisifika kwa kutunza siri lakini siku hizi Wanaume tunapungua. [emoji117][emoji117][emoji117]sio kupungua tu wanaisha kabisa@SK2016,
 
Bado kuna mtu sijamwona mpaka Sasa

Sijaona comment yake Wala thread yake

Na sio kawaida yake kunyamaza

Bado nangoja neno lake

Mshana jr anamjua[emoji12]
 
Utoto unasumbua sana kizazi cha sasa....
Utoto mwingi sana! Ndiyo unasababisha haya mambo!

Unajua iko hivi; unapokuwa umeonana na member mwenzako mkafanikiwa kuwa wapenzi. Hata kama tunatumia IDs fake, ukianzisha thread tu kumhusu, lazima atajua tu na hatajisikia vizuri wala amani moyoni!

Wanaume siku za nyuma tulisifika kwa kutunza siri lakini siku hizi Wanaume tunapungua.
 
[emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado kuna mtu sijamwona mpaka Sasa

Sijaona comment yake Wala thread yake

Na sio kawaida yake kunyamaza

Bado nangoja neno lake

Mshana jr anamjua[emoji12]
 
Bora ndugu yetu atapata mda wa kusema na Mungu kuhusu makosa yake na atakua mfano mzur kwa jamii [emoji24]

Asije kama folk hapa kutaja siku zake zilizobaki
 
Watu wengi bado hawajaweza tofautisha maisha ya mtandaoni na haya halisi nyuma ya keyboard...

Ukipata rafiki wa kawaida au mwenzi hapa, uhusiano wenu ukihamia upande wa pili acha ubaki huko huko upande wa pili...

Hiyo ndio hekima na busara, ndio namna ya kuwa mwanadamu mwenye utimilifu wa afya ya akili...
Una busara sana watu8
 
Back
Top Bottom