Napenda viporo lakini sio vilivyochacha

Napenda viporo lakini sio vilivyochacha

naam, bila kuheshimiana mambo ya hayaendi na bila privacy ni sawa na kukaa uchi....
Tatizo wanaume humu pia wanaadisiana...yaani humu privacy ni ndogo sana.sishauri saaana kujuana nje ya hapa yalishanikuta mawili makubwa....siku nitakuja na thread.
Yaani mimi kuna demu alijua natoka na jamaa lake alinitangazia hatari mwaka 2015 hiyo
Hahahaha alafu jamaaa alikuja na uzi kwamba ana ngoma
Weeee mbona jf niliiona chungu.humu sio kaka
 
masai dada is back.... Welcome again... Au wewe ndio mama nanihii kwa ID nyingine? [emoji848]
Una busara sana watu8
Tatizo wanaume humu pia wanaadisiana...yaani humu privacy ni ndogo sana.sishauri saaana kujuana nje ya hapa yalishanikuta mawili makubwa....siku nitakuja na thread.
Yaani mimi kuna demu alijua natoka na jamaa lake alinitangazia hatari mwaka 2015 hiyo
Hahahaha alafu jamaaa alikuja na uzi kwamba ana ngoma
Weeee mbona jf niliiona chungu.humu sio kaka
 
Karibu tena... Simama imara.. Jiamini... Usiogope vivuli. Havitishi....
Nilirudi tangu january mpwa ila humu nawaogopa watu hatariii

Yaaani humu sio wanaume sio wanawake ni hatari kwa privacy yako.
By the way nimekua tu mvivu kupost na kukoment si unajua uzeee ndugu
 
Karibu tena... Simama imara.. Jiamini... Usiogope vivuli. Havitishi....
Mpwa unalikumbuka sekeseke langu humu?
Nafikiri umesahau.
Ila kifupi tu humu wengi kama watoto wa shule afu wewe "ticha" wao
Ukimtongoza mmoja anaenda adisia mwenzie
Ticha mshana kanitongoza hahahha
 
Imagine kama mmojawao hawa ni JF member [emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]
tapatalk_1575633820627.jpeg
 
Duu hebu nikumbushe tafadhali.... Na pole sana kwakweli... Kama hutojali nikumbushe
Mpwa unalikumbuka sekeseke langu humu?
Nafikiri umesahau.
Ila kifupi tu humu wengi kama watoto wa shule afu wewe "ticha" wao
Ukimtongoza mmoja anaenda adisia mwenzie
Ticha mshana kanitongoza hahahha
 
Duu hebu nikumbushe tafadhali.... Na pole sana kwakweli... Kama hutojali nikumbushe
Ipo siku tu nitaiandika thread
Yashaiasha miaka kama 4 ishapita..haikuniathiri kw alolote ila nimepoteza marafiki kwa kuwaogopa
 
Back
Top Bottom