Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
Gilesi ni ID ya pili ya mtu hapa JF, kwenye ID ile nyingine anaishi kiume!Nimekuwa Gilesi huwa nashangaaa nikicomment mtu ananiqoute na povu juu
Nabaki nashangaaa tu
Gilesi ni ID ya pili ya mtu hapa JF, kwenye ID ile nyingine anaishi kiume!Nimekuwa Gilesi huwa nashangaaa nikicomment mtu ananiqoute na povu juu
Nabaki nashangaaa tu
naona bifu(diss) linakuja kwa kasi Demiss chamdekoMalingo "Maringo"
Rekebisha kwanza mwandiko
Malingo "Maringo"
Rekebisha kwanza mwandiko
Kitambi au minyoo!!Papuchi au kitambi
Aiseeeee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Gilesi ni ID ya pili ya mtu hapa JF, kwenye ID ile nyingine anaishi kiume!
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Gilesi=Bujibuji
andaa nguo chafu za kutosha maana povu zito litakuja muda sio mrefuUmeonaaa eeeh body kali
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aiseeeeee
Uzuri wangu wa Tausi mama,Maringo kwetu kawaida,Wenzangu wananisengenya, nikipita mara hukonyezana
Wamesahau kazi zao, kutwa nzima kunichunguza,Maringo kwetu kawaida, hamuwezi kunyamaza eeee.......
Hamuwezi kunyamaza, hamuwezi kunyamaza, hamuwezi kunyamaza Mpaka mseme kila siku eee
Wasiwasi wote wa nini ngoja niseme ukweli....SEMAAaa Mwili wangu mzuri, kila vazi linakubali Uzuri wangu wa kuzaliwa/TAUSI , maringo kwetu kawaida,nikigeuka utakubaliii,nikichekaaa utakubali,nikicheza utazimia wasiwasi....
Eeeeh Kwani Hiyo ni nyama mpya ya Aslay?mwache mdogo wako Aslay aenjoy..., we pigia puchu hiyo picha
huyo ni dem wakeEeeeh Kwani Hiyo ni nyama mpya ya Aslay?
aaanh dogo anafaidi aiseehuyo ni dem wake
haha haaUtasikia oohhhh!!!! Hilo ni agano la kale
Amina, mama mchungaji.Matumbo mawili?. Mungu asema, "Mwanamke asivae nguo zimpasayo mwanaume, Na wala mwanaume asivae nguo zimpasaye mwanamke." KUMBUKUMBU LA TORATI 22:5