Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,165
- 103,459
It's a belly bossom, [HASHTAG]#mrbean[/HASHTAG]we call it 'belly'
It's a belly bossom, [HASHTAG]#mrbean[/HASHTAG]we call it 'belly'
ushamridhi Bibi faiza foxMalingo "Maringo"
Rekebisha kwanza mwandiko
Tupo agano jipya mkuu..sharia hazipo kwa damu ya Yesu ilipomwagika - alitamka imekwishaMatumbo mawili?. Mungu asema, "Mwanamke asivae nguo zimpasayo mwanaume, Na wala mwanaume asivae nguo zimpasaye mwanamke." KUMBUKUMBU LA TORATI 22:5
Sheria gani hazipo ukiitoa hiyo ya mavaziTupo agano jipya mkuu..sharia hazipo kwa damu ya Yesu ilipomwagika - alitamka imekwisha
Hahaa nimesafiri kidogo ila soon ntakuwa naye tenaVipi mkeo..amejua kupika?
Mhhhh ama kweli kila shetani na mbuyu wake duhhh!!!!!!!!!!!
Mkuu hebu weka picha yake fullHahaa nimesafiri kidogo ila soon ntakuwa naye tena
Hahaha u made my day..mtuwacheeSiwezi kumsemesha mwanamke mwenye tumbo kama hilo,
Wengi wao ni walafi kupindukia
Mwanamke akifumaniwa apigwe mawe hadi auaweSheria gani hazipo ukiitoa hiyo ya mavazi
Hiyo ni kwenye uislam au na kwenye biblia ipoMwanamke akifumaniwa apigwe mawe hadi auawe
Kumbe ni Torati??Matumbo mawili?. Mungu asema, "Mwanamke asivae nguo zimpasayo mwanaume, Na wala mwanaume asivae nguo zimpasaye mwanamke." KUMBUKUMBU LA TORATI 22:5
Ndiyo, Ni Torati.Kumbe ni Torati??
Jitambi sio kitambiPapuchi au kitambi
Mjinga huyo,hajui hata kitambi na papuchi location zakePapuchi au kitambi
SureHahaha u made my day..mtuwachee