Mbombo Nunu
Member
- Feb 10, 2018
- 92
- 124
Na jamii ya watu wasiovaa nguo kabisa wanaishi na kutembea kama walivyozaliwa (walivyoumbwa) ,ama zile za wavaa visepe chini vya aina moja (Ke/Me) alafu juu wote wako wazi,na maisha yanaenda bila soni wala nini,maandiko yao yanapatikana KWENYE KUMBUKUMBU LA NANI NA NGAPI?,ama nao ni watenda dhambi?Matumbo mawili?. Mungu asema, "Mwanamke asivae nguo zimpasayo mwanaume, Na wala mwanaume asivae nguo zimpasaye mwanamke." KUMBUKUMBU LA TORATI 22:5
Tusaidiane tafadhari.