Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 883
- 1,835
Wakuu hivi macho kutokuona vizuri hua inasababishwa na nini., Na Tiba yake
ni Ipi dada, yangu amekua akivaa miwani Muda wote,
Akijaribu. Tu kuvua miwani anasema macho Yanamuuma na Haoni vizuri,
Msaada wenu tafadhari.
ni Ipi dada, yangu amekua akivaa miwani Muda wote,
Akijaribu. Tu kuvua miwani anasema macho Yanamuuma na Haoni vizuri,
Msaada wenu tafadhari.