Napenda sana kuwa model

Habari wana jf napenda sana kuwa mwana mitindo(model)naombeni ushauri nianzie wapi ili niwe model?
kwa ushauri tu, nenda huko insta kama jamaa alivyokushauri....alafu anza kufwatilia wanamitindo mbali mbali duniani andalia wapopita mpaka wakawa top stars, check historia zao, cheki nini wanafanya kila siku katika shughuli zao.....angalia majarida, nenda youtube search models nadhani utapata basics!!!! anzia huko maana usije kuta unataka kuwa model alafu hujui nini maana ya modelling au models.
 
Asante kwa ushaur wako mzur
 
Back
Top Bottom