autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
Weka picha
ruka kichura chura!
kariakoo op na benja?? embu nielekezw vyema mkuu
N.B: Mwili unakomaa pale unapoulazimisha kufanya zoezi ambalo lipo nje ya uwezo wake e.g Kubeba vyuma vizito kuliko uwezo wako.
Pia kutokuzingatia lishe bora huku unafanya mazoezi hasa magumu ndiyo kunasababisha mwili ujijenge ndivyo sivyo.
Mazoezi yanakufanya uwe fit kiafya, kimwili na kiakili. Pia husaidia kuufanya mwili wako upendeze na kila nguo ikukubali. Im addicted to mazoezi and i dont regret that.
Ngoja nikiwa kwa pc nitakupa photos zenye styles tofauti za mazoezi na namna ya kuzifanya, siyo mbaya ukinikumbusha kama utaona kimya.
Mapendo.
TANMO.
asante mkuu nitajitahidi ila hofu yangu ni mikono kukomaa maana ukiruka kamba joints za juu zinauma sana
masai dada si useme tu upo sokoni?
Along Uhuru Road kama unatokea Karume upande wa kushoto ukishapita pale Tbl... Wanaziuza arround Laki nane used, mazungumzo yapo nadhani.
Ila ni complicated kama unaishi kwenye chumba kimoja. Siyo portable, haipungui kilo 20 uzito, inahitaji umeme kujiendesha, hivyo Tanesco wakifanya yao hutapiga tizi.
Fanya jogging mtaani kwako hata mida ya jioni, kama kuna uwanja ni nzuri zaidi, mazoezi yanahitaji kampani sometimes... jiunge na swimming clubs pia, hutajuta.
Kila la heri Madam.
N.B: Mwili unakomaa pale unapoulazimisha kufanya zoezi ambalo lipo nje ya uwezo wake e.g Kubeba vyuma vizito kuliko uwezo wako.
Pia kutokuzingatia lishe bora huku unafanya mazoezi hasa magumu ndiyo kunasababisha mwili ujijenge ndivyo sivyo.
Mazoezi yanakufanya uwe fit kiafya, kimwili na kiakili. Pia husaidia kuufanya mwili wako upendeze na kila nguo ikukubali. Im addicted to mazoezi and i dont regret that.
Ngoja nikiwa kwa pc nitakupa photos zenye styles tofauti za mazoezi na namna ya kuzifanya, siyo mbaya ukinikumbusha kama utaona kimya.
Mapendo.
TANMO.
we vp kila kitu unaogopa mara ooh naogopa kutoka vigimbi ooh mkono utakomaa naogopa kuharibu shepu kwani vp mjomba?
Sidai!!!
Napenda mwanamke mwenye kiu ya mazoezi kama ww,
Self defence push ups kamba,
You are good, but unajiwekea limits nyingi,
Unaogopa kukimbia huruki kamba vizuri, kamba ruka non stop utatokwa jasho, jioni unaweza kimbia ni salama alafu morning unaruka kamba piga push ups kadhaa za kike kama kumi 20 ivi,
U'll look sexier, tena umesema una curves, ndio zitajipanga vizuri sasa,
Haya chakarika maasai gal
Paka mikono mafuta mazito ya vaseline afu vaa gloves.
Kama unataka kuwa fiti fanya tendo la ndoa kwa bidii.
Having Sex: 144+ calories per half-hour
You knew sex was a workout, but who knew that a half-hour romp in the hay with your guy could burn off the chocolate you nibbled on after dinner? The key for high-calorie-burning sex is making it hot and making it last, say experts. You can also add a little moaning and sighing, says Kinzbach, which can help you burn an extra 18 to 30 calories. And try a position change for a better workout. If you are on top, try moving your hips like a belly dancer; this feels great and will give you a workout, she adds. Also try a position where you squat on top of him and then bounce up and down. This is a great workout for your thighs and butt, and it can burn up to 207 calories in 30 minutes. Perhaps the best way to maximize calorie-burning during sex is to make sure you orgasm. Experts estimate that women who orgasm during sex burn more calories during lovemaking than those who dont.
Photo by Getty.
How Many Calories Does Sex Burn - Calories Burned During Sex - Woman's Day
N.B: Mwili unakomaa pale unapoulazimisha kufanya zoezi ambalo lipo nje ya uwezo wake e.g Kubeba vyuma vizito kuliko uwezo wako.
Pia kutokuzingatia lishe bora huku unafanya mazoezi hasa magumu ndiyo kunasababisha mwili ujijenge ndivyo sivyo.
Mazoezi yanakufanya uwe fit kiafya, kimwili na kiakili. Pia husaidia kuufanya mwili wako upendeze na kila nguo ikukubali. Im addicted to mazoezi and i dont regret that.
Ngoja nikiwa kwa pc nitakupa photos zenye styles tofauti za mazoezi na namna ya kuzifanya, siyo mbaya ukinikumbusha kama utaona kimya.
Mapendo.
TANMO.
fanya body weight circuit training.