masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,396
- 19,356
- Thread starter
- #21
how much kaka jambazi? zinapatikana wapi
eneo nalokaa halina mlima alafu saa 11 kuamka kukimbia naona msala,kingine kamba mikono inakaza naogopa kukomaa
Pamoja kijana wanguMzee sio kila mtu anakaa kimara
Nimeshakuelewa halafu nilifikiri wewe me
Pamoja kijana wangu
Ndio inatumia umeme, na hata kama ukitaka kuhama nayo si tatizo unahama nayoina tumia umeme??? unaweza kuama nayo lets say ukisafiri?
Shieeee!!!
Ndio inatumia umeme, na hata kama ukitaka kuhama nayo si tatizo unahama nayo
Nimeshakuelewa na unayosema ni kweli kabisa wala hujakosea, bora ununue hiyo mashine itakufaa, muda wowote ukijisikia hata nusu saa kabla ya kutoka nyumbani asubuhi unapashamimi msichana HARUFU naogopa watu na hasira za saa kumi na moja wasije wakanigeuza dekio
Nimeshakuelewa na unayosema ni kweli kabisa wala hujakosea, bora ununue hiyo mashine itakufaa, muda wowote ukijisikia hata nusu saa kabla ya kutoka nyumbani asubuhi unapasha
Kawaida inakuwa na spana zake(vifaa vya kufunga na kufungulia) na kitabu cha maelekezo namna ya kuifungua na kuirudishia ingawa, utakapofika eneo jipya ulilohamia unaanza kuifunga upya.inakunjika?ni portable??how much? kwa hapa dar unaweza kuipata wapi tofauti na game??naweza nikaipata ya mtumba??
Kawaida inakuwa na spana zake(vifaa vya kufunga na kufungulia) na kitabu cha maelekezo namna ya kuifungua na kuirudishia ingawa, utakapofika eneo jipya ulilohamia unaanza kuifunga upya.
Bei yake kwa mtumba kwa kweli sifahamu labda KakaJambazi atusaidie
KakaJambazi njoo huku tunataka msaada wako
kapotea jumla hizi weekends hizi lol
ukinunua iyo machine ni sawa na kupanda maua nyumba ya kupanga!
takwenyaaaa!!!!!!?
Ndugu zangu napenda sana kupiga mazoezi malaini asubuhi sio kwa ajili ya kupunguza mwili au kukata tumbo hapana,ni kwa ajili tu ya kuwa fit asubuhi kabla ya kwenda kusaka doo
na jioni kabla sijapika kula na kufanya mambo mengine,
Tatizo ni kwamba napigia mazoezi ndani nasina vifaa vya gym nina kamba tu,tatizo mazoezi kama kujump na kuinuka na kukaa,kichura hayatoi jasho hata kidogo yaani,alafu yanapoteza muda na jasho utoi
tangia pasaka niliwaza natakiwa nipate kazoezi kagum kidogo ila cha muda kidogo ambacho kinatoa jasho fasta ili nioge niwahi job
mweeee tangu jumatatu nikaanza kupiga push up hadi leo asubuhi baada ya kupiga moja tu nilitamani kuzimia kwa maumivu makali ya tumbo.yaani nyama za tumbo zinauma hapa sina hamu
Naomba wadau tushauriane je niendelee na pushap maumivu yatapungua najua hilo lakini naogopa kupata six packs lol,ni kweli ukiendelea na hili zoezi unapata mgawanyiko wa mwili kama mwanaume maana hadi mikono inauma nisije nikawa kama john cena au daniel brian,,,
Jingine naomba kujua mazozi gani nifanye yakunifanya kuwa fit msaada wadau
NB:
sikati tumbo wala kupunguza uzito nataka tu kuwa fit
yeroo unapenda sana tizi,,i rly like dat frm u kwakwel,,af nmecheka ulivolalamika maumiv ya push up,,kawaida ukiendelea kupga yataisha,,ngekua nakaa karibu na ww ngekufundisha karate,,vp ulimpata trainer wa self defence
Af hyo mashine, za mtumba nazionaga pale opposite na benjamin mkapa sec school pale kkoo,,kajaribu kuchek eroo