Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,568
- 17,986
Hiyo inaitwa fantacy..hata hivyo sishangai nishawahi kwenda mji mmoja pwani nikakuta wazee wamekaa kibarazani wameshika vibiriti kila muda wananusa..kwa udadisi wangu nikagundua kumbe ndani ya vile vibiriti kuna 'gogo' so washakuwa addicted na harufu ya nnya..si unajua tena watumiaji wa ule mtandao pendwa..